Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

Bado hujaelewa ukielewa vizur utachangia vizuri
 
Kwenye Audit Kuna kitu kinaitwa
"Consider the use of experts" hata mradi wa nuklia Auditor anakagua...hata mradi wa upasuaji wa moyo anakagua
issue ni kuwa ana wataalamu au ametumia wataalamu gani?
 
Wakati ule mtera ilikuwa kila wakati kina cha maji kilikuwa kinapungua, miaka mitano iliyopita hatukusikia upungufu.

Sasa hivi Kuna some kind of surbotage inaendelea, labda ndiyo justification zinatafutwa ili kuhalalisha Ile miradi ya kifisadi ya gesi.

Bado umeme wa maji utaendelea kuwa cheap for many years to come.
 
Kipangwe na nani na jamaa alikuwa na pacemaker? Harakati za uchaguzi zilimchosha sana, hivi alikuwa anatembea na msururu wa ambulances ngapi vile?
Hujasikia kwamba pacemaker zinaweza kuwa hacked kwa urahisi? Hata hivyo sadaka yake ni mbegu iliyopandwa ardhini, imeshaota isubiri tu kuzaa matunda. Vita aliipiga, mwendo ameumaliza, njia ameionesha, kazi kwetu sasa.
 
Mkuu pamoja na yote tuna daiwa na mabeberu pesa nyingi kuliko hizo ndege yani waki zidaka wata taka na peza za ziada je apo zinatengenezeka?
 

Una ubishi usiokuwa na maana.
Laiti ungesoma post zilizotangulia, usingeandika haya uliyoandika.
Kuandika kwenyewe hujui!

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Yes that is a good question.
Hata Mimi ningefurahi kujua
 
Angalia apo utawaona ma Engineer wa emirate!
2014 emirate walijengewa jengo lao la garage kwa dola 100M lenye uwezo wa kufanyia matengenezo engine 300 tu kwa mwaka! Wana ndege ngapi emirate?
 
Wapumbavu wanakurupuka kuja kuonyesha ujuha wao humu kwa mamba wasiyokuwa na ufahamu nayo. Badala ya mtu kuuliza kwanza ANAKURUPUKA TU!
Unaposikia ofisi ya CAG unahisi ni kikundi cha wacheza ngoma Mkuu? Pale hata kama ni Chemicals hazipo sawa watasema na watashauri.

Umeshawahi kufanyiwa Auditing?
 
Wapumbavu wanakurupuka kuja kuonyesha ujuha wao humu kwa mamba wasiyokuwa na ufahamu nayo. Badala ya mtu kuuliza kwanza ANAKURUPUKA TU!
Wengine sie ni wataalamu wa Mambo hizo
 
Reactions: BAK
Kumbe zinatengenezeka, kwaio CAG amewapotosha watanzania na viongozi wake kwa ujumla kwa kudai kuwa zikiharibika hazitotengenezeka.
Ndio haseme hazitengenezeki. Naanza Kupata mashaka na report Yake [emoji19][emoji19]
 
Hata mi sijasomea mambo ya dam constructioj ila kutumia feasibility study ya 1970 kwa dunia hii inayokwenda mbio ni jambo la kuhoji
Kama tunatumia feasibility study ya Mwaka 1970, siejii Anataka tutumie ya Mwaka Gani?
 
Wewe sasa...mwenye wataalamu kuliko CAG? Unayejibu hata hujaisoma vizuri ripoti ya CAG vizuri kuwa inasemaje!! CAG hatakiwi kutoa angalizo lolote anapaswa kusifia kilakitu ili kumtukuza Muungu wenu!! Leo kakosoa ofisi take haina wataalamu umepitia vyeti vyao??!!
Kijanaa CAG anakuja na mapendekezo ili tuboreshe pale tulipoyumba ninani kawafundisha kukosoa ni dhambi? Kila mradi mlitaka aseme "excellent nakubaliana na hoja kwa asilimia 100" kama wale wabunge wenu wazito kufikiri na waoga kusema??
Huu upuuzi wa kusifu na kuabudu utawapeleka pabaya nawaasa... Vijana hamjui kuhoji!! Hamko critic!!hamuulizi maswali! Hamchambui hoja!hamjui kujenga mawazo,hamuwezi kufikiri nje ya kionekanacho! Hamuwezi tathmini pros and cons ndiyo maana kimataifa mnaonekana mbulula!!taiga halisongi shauri ujinga umewajaa!!
Fatilia mataifa yaliyoendelea na yawasomi uone miradi inavyochambuliwa tena miradi ya maana kwelikweli kusudi tuu ilete tija zaidi...ninyi mnataka kilamtu asifu tuuuuu! Jinga sana mnakeraaaaa
 
Tunaposema kifo cha JPM kimepangwa muwe mnaelewa sasa.

Kikelangwa na nani katika ulinzi ule na mitambo ile ya kunasa mawasiliano ya kila mtu,?

Unafikiri kumuua rais ni jambo la kufanya kirahisi rahisi tu?

Acheni kupotosha umma!
Rais ni Mama yetu mpendwa sana Suluhu. Na ameshaanza kutupati Suhuhu ya matatizo yetu.
Asiyekubaliana na mabadiliko amfuate anayemtaka huko anakoona atamletea maendeleo .
Mungu hawezi akawaumiza watu mil. 61 bila sababu. Mungu siku zote anawasaidia watu wake kwa wakati wake.
 



Sijajua walikimbilia kununua mindege kwa sababu ya watu kukosa usafiri wa kwenda ulaya , mikoani au waliamua tu kuwahadaa watu ili wapate misifa huku wao wakiendelea kujilimbikizia mali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…