Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Very likely wewe unatumia private transport hujui machungu wanayokutana nayo wasafiri paleMkuu ameumiza watu kwa namna gani hapo? hebu nieleweshe kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very likely wewe unatumia private transport hujui machungu wanayokutana nayo wasafiri paleMkuu ameumiza watu kwa namna gani hapo? hebu nieleweshe kidogo.
Serikali inatumia ubabe na siyo akili, alichofanya makala ni mfano wa wazi kabisaWaondoe machinga na wapiga debe
Watu wanafata huduma nzuri ndo maana mabasi yanatengeneza stend zao ili abiria wakwepe usumbufu waupatao mbezi
Hili jambo halina afya kabisa kwa wananchi wa kipato cha chini, Mama Samia anatakiwa kuingilia kati kuwanusuru watu wake, wanaotoa hayo matamko hawatumii usafiri wa public, hawaonji machungu wanayopata wwananchi wa kipato cha chiniHuyu mkuu wa mkoa amecopy upuuzi wa Dodoma,
Dodoma Kuna amri basi lolote hata lifike saa 8 usiku Dodoma,lazima lishushe abiria wote stand kuu,hakuna kuwapa msaada abiria wanaoenda mjini Kati Kati,basi lishushe,harafu liende tupu mjini kupaki,
Kisa wanataka abiria wanaoenda mjini,watumie usafiri mwingine wa boda boda,teksi,lengo ilikuwa ni kulazimisha abiria wapande boda boda,teksi kwenda mjini
Dodoma daladala mwisho saa nne usiku,unafika Dodoma saa Saba usiku,uchukue boda boda mpaka mjini,ulipe Tena 15000!akili za hovyo kabisa
Mkuu una point kubwa Sana ebu tia nyama tukuelewe zaidi tafadhariDar es Salaam haihitaji kuwa na stendi kuu ya mabasi.Ukosefu wa uelewa wa biashara ya usafiri na akili ndogo za wapanga mji zinazopenda centralization na kuona majengo makubwa makubwa ndizo zimetufikisha katika matatizo kama haya.
"60% viongozi Tanzania Wana uwezo mdogo"Prof AsadTatizo la Viongozi wetu lipo kwenye kufikiri Sawa Sawa.
Nchi zilizoendelea zimeruhusu makampuni ya usafirishaji kuwa na pick points zao ili wateja wapate unafuu kusafiri,hapa kwetu ni kinyume chake, tumecentralize stand bila kuweka mifumo mizuri wezeshi ya kuwafikisha abiria hapoMkuu una point kubwa Sana ebu tia nyama tukuelewe zaidi tafadhari
Nchi za kijamaa hazija wahi kuwa makini ni full kukurupuka ili kuonesha serikali ipoNchi zilizoendelea zimeruhusu makampuni ya usafirishaji kuwa na pick points zao ili wateja wapate unafuu kusafiri,hapa kwetu ni kinyume chake, tumecentralize stand bila kuweka mifumo mizuri wezeshi ya kuwafikisha abiria hapo
Wako proud na majengo makubwa bila kufikiria mifumo inayohusiana kiutendaji na majengo hayoNchi za kijamaa hazija wahi kuwa makini ni full kukurupuka ili kuonesha serikali ipo
Badala ya kutatua tatizo yeye bize kutengeneza tatizo kwa ajili ya Mama lishe na machinga uku abiria wakipata shidaWako proud na majengo makubwa bila kufikiria mifumo inayohusiana kiutendaji na majengo hayo
Lazima niseme, hii ni ngumu mkuu Erythro.
Pamoja na pendekezo lako la mabasi hayo lazima yapitie Stendi kuu, bado naona Makalla yumo ndani ya mstari, hata kama yeye atakuwa na msukumo wa maslahi tofauti na matakwa ya mabasi hayo kuanzia na kuishia stendi kuu.
Stendi kuwa mbali na mjini siyo hoja, kwa sababu stendi kuu ni lazima ihudumiwe na usafiri toka sehemu zote za mji, kwa hiyo hiyo ni fursa kwa wenye biashara zao za usafirishaji mjini.
Ni sawa na uwanja wa ndege, ambako ukitaka kusafiri, kama unatokea Kawe, ni lazima utafute usafiri wa kukufikisha JKNIA, na hivyo hivyo, kama unaingia, utapata usafiri toka hapo kukupeleka Kawe.
Mimi naona la msingi zaidi ni Makala kuhakikisha sehemu zote za mji wake zipo huduma za kuwafikisha wananchi Stendi kuu ya mabasi, Mbezi Luis.
Lakini pia inabidi niulize swali hapa: kuna ubaya wowote kwa mfano kuwepo kwa vituo kadhaa vya mabasi mjini Dar, kwa mfano kituo cha mabasi yanayoelekea kusini mwa nchi kikawepo Mbagala; kituo cha mabasi yaendayo Nyanda za juu yakaanzia, tuseme Gongo La Mboto, n'k.?
Vipi, mbona hujachangamkia fursa ya Hotel/Guest maeneo hayo mkuu Erythrocyt
Amos Makalla ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Mfadhili wa zamani wa bendi ya FM ACADEMIA ya Kinondoni , bila kufanya utafiti wowote ule leo ametoa amri ya kulazimisha mabasi yote ya mikoani kuanzia safari zao kwenye kituo kikuu cha mabasi ya mikoani cha Mbezi Luis , kinachoitwa kituo cha mabasi cha Magufuli na kushushia abiria wake hapohapo .
Lengo kuu la kauli yake hii ni kujaribu kukusanya watu ili kuneemesha wafanyabiashara waliojazana kwenye stendi hiyo bila mpangilio wowote , Makalla anaamini kwamba abiria wote wakishushwa ama kuanzia safari zao hapo basi watanunua bidhaa za wamachinga waliojazana hapo , hivi ndivyo akili yake ilivyomtuma , kwamba abiria wakomeshwe ili kufurahisha wafanyabiashara , Amesahau kwamba abiria ni bora kuliko wamachinga kwenye mustakabhali wa Safari , hata hivyo sikubaliani naye .
Mbezi Luis eneo ilikojengwa Stendi ya Mabasi ya Mikoani ni nje kabisa ya jiji la DSM , kulazimisha Mabasi yaliyokuwa yanaanzia safari zake Mbagala , Tandika au Kigamboni kuacha kazi hiyo na kulazimisha sasa lazima yote yaanzie Nje ya jiji ni sawa na unyama , kwamba sasa aliyekuwa anapandia basi Mbagala akodi teksi kwa zaidi ya gharama ya tsh elfu 30 ili kulifuata basi Mbezi Luis , kwa vile tu Amos Makalla kajisikia hivyo haikubaliki na ni lazima ipingwe kwa nguvu zote .
Alichotakiwa kufanya Mh RC ni kuhakikisha kwamba basi lolote kutoka kwenye yard yoyote ile binafsi linakoanzia safari lisiondoke DSM bila ya kupita Stendi kuu ama lishushe litakako ila ni lazima lije stendi kuu , Vinginevyo Mh Makalla atamke hadharami Maslahi yake binafsi atakayopata kwa kuwatesa abiria wa Kigamboni , Vikindu , Chamanzi , Mbagala , Tandika na kwingineko waliokuwa wanapata ahueni ya kuanzia safari kwenye maeneo yao ya karibu .
Naomba kuwasilisha .
Good Point.Lazima niseme, hii ni ngumu mkuu Erythro.
Pamoja na pendekezo lako la mabasi hayo lazima yapitie Stendi kuu, bado naona Makalla yumo ndani ya mstari, hata kama yeye atakuwa na msukumo wa maslahi tofauti na matakwa ya mabasi hayo kuanzia na kuishia stendi kuu.
Stendi kuwa mbali na mjini siyo hoja, kwa sababu stendi kuu ni lazima ihudumiwe na usafiri toka sehemu zote za mji, kwa hiyo hiyo ni fursa kwa wenye biashara zao za usafirishaji mjini.
Ni sawa na uwanja wa ndege, ambako ukitaka kusafiri, kama unatokea Kawe, ni lazima utafute usafiri wa kukufikisha JKNIA, na hivyo hivyo, kama unaingia, utapata usafiri toka hapo kukupeleka Kawe.
Mimi naona la msingi zaidi ni Makala kuhakikisha sehemu zote za mji wake zipo huduma za kuwafikisha wananchi Stendi kuu ya mabasi, Mbezi Luis.
Lakini pia inabidi niulize swali hapa: kuna ubaya wowote kwa mfano kuwepo kwa vituo kadhaa vya mabasi mjini Dar, kwa mfano kituo cha mabasi yanayoelekea kusini mwa nchi kikawepo Mbagala; kituo cha mabasi yaendayo Nyanda za juu yakaanzia, tuseme Gongo La Mboto, n'k.?
Vipi, mbona hujachangamkia fursa ya Hotel/Guest maeneo hayo mkuu Erythrocyte!

Mkuu pole sana , Uchunguzi wetu unaonyesha kwamba viongozi wa Tanzania hawajawahi kutumia usafiri huo mnaoutumia nyie , hawajui chochote kuhusu changamoto zakeJamani Makala unajua magari yanayotoka Mwanza yanaingia Dar saa sita adi saba usiku? Yaani mtu ameshuka stendi ya Mbezi saa sita alafu atembee zaidi ya 1km nje ya stendi za mizigo anatafuta usafiri ya daladala za kuja mjini.
Kuanzia saa sita usiku daladala mbovumbovu ndo unazikuta pale nje umbali wa 1km za kwenda Buguruni. Ufike Buguruni uanze tena kutafuta usafiri wa bajaji na boda kukupeleka kwako.Ukiulizia Tax pale Stendi Mbezi adi Tazara huo usiku saa sita ni sawa na nauli ya Dar Mwanza.
Basi wakisema watu washushwe na daladala na mwendokasi zisogezwe eneo hilo na waboreshe mazingira; waachane na upuzi kabisa.
Kuna siku nipo na Allys Bus tumefik pale stend, traffic anamwambia amna driva kuondoka na abiria kwenye gari kuelekea mjini wakati gari inaelekea Urafiki. Nikamuuliza traffic umepewa order au umeamua tu kujisemea? yeye akasema amepewa order ..then nikamuuliza kwa akili yako unaona ni sawa gari kwenda bila abiria wanaoelekea huko? ili tu tuwaunge wamachinga wa hapa? akasema siyo sawa..then nikamuuliza wewe hiyo order hukuichallage kidogo? akasema ndugu we acha tu....shukeni.
Makala atambue kua kusafiri isiwe adhabu kwa wasafiri kisa tu wamachinga; kwani wamachinga wa kigamboni wao wanafanyaje biashara?
Mkuu una point kubwa Sana ebu tia nyama tukuelewe zaidi tafadhari
Kwa hiyo wewe unawaambia waliokuwa wanatoka kigamboni na kupitia bagamoyo waende kwa mbezi ndio warudi,,,,,Lazima niseme, hii ni ngumu mkuu Erythro.