Napinga kabisa dhana ya "Mume ni Provider" katika ndoa

Be a gentleman,achana na wamarekani 50/50 haipo
 
Mume atawaacha wazazi na mke atawaacha wazazi!

Huo mfumo wa majukumu ya pamoja ni ya asili
Tangu Dunia ilipoumbwa

Hio hoja ya kumuuza Binti, ni ukiukaji wa misingi ndoa
 
No matter what,a man is a man Wacha kuwa legelege iba pora wewe ndio Kichwa Cha family
 
Soma kitabu cha mwanzo kwahiyo unapingana na maandiko.
 
Haina ubaya kudesign mfumo unaoutaka!

Ila usilazimishe kuwa ndio mfumo wa kisheria

Sababu historia ya maisha ya mwanadamu haitambui hio system ya kumfungia mke ndani

Historia inatunesha maisha ya mume na mke ni ya kushikamana kwa Kila jambo kwa umoja tangu Karne nyingi zilizopita
 
Kachuma mali 😹
Kachuma mali kutoka kwenye mti au kutoka kwa mumewe ambaye anaishi nae kwenye jamii,huyo mumewe kipindi akitafuta mali ilitegemewa aje kupewa nani?

Then kwanini udhani kazichuma kutoka kwa mumewe unadhani ilibidi apewe nani kama siyo yeye,yumkini mumewe alifariki so wangemzika na mali zake kama angekuwa hana mke?
 
Wait shemegi, huu usaidizi uanzie kwenye mahari....hapa napo mwanaume bado ana mzigo, walau mahari ya 1m mfano me atoe laki 6 ke laki 4.

Tunahitaji ndoa imara zilizojengwa katika misingi ya kusaidiana. Au???
Mahari ifutwe!
 
Ndio kujitajirisha 🤣🤣🤣
 
Acha blah blah. Usipende kubebwa kwenye majukumu yako. Wajibu wako ni kutunza familia. Ndio maana majiliza humu kupigwa, kugongewa na kunyanyaswa na wanawake. Bi alfa male dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…