Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Okay sawa, nini kingine ungependa kusaidiwa shemegi 😹Mahari ifutwe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay sawa, nini kingine ungependa kusaidiwa shemegi 😹Mahari ifutwe!
Hahaaaaaa huo ndio ukweli dogo. Nina watoto 4, wa kwanza ni umri wako. Nina enjoy kwenye ndoa japo hujajibu, baba yako hakuwa lijali kumuoa mama yako?Huna akili ww zezeta!
Kukataa ndoa ni kukwepa majukumu na wajibu wa msingi kama wanadamu, iwe mwanamke ama mwanaume.Ndoa ni kichaka cha mwanamke kujitajirisha.... Kataaa
Umewahi kuwaza siku uki R.I.P unaacha familia ya aina Gani? Au unadhani unamkataba na Mungu wa kuishi milele? Jamaa Yuko Sahihi,hasa situation ambayo wote mnafanyakazi,na Mwanamke hawajibiki Kwa chochote,akiamini ni kazi ya mume.Kataa ndoa wanazidi kujifunua nini kipo nyuma ya movement zao. Ugumu wa maisha. Si unaona kijana anakimbia jukumu lake anataka alelewe.
Wenzake tupo kwenye ndoa mwaka 20 sasa na mke wangu ni mama wa nyumbani, simruhusu afanye Umekazi yoyote zaidi ya kunipikia, kunifulia, kulea watoto na kunipokea toka kazini na kunipa haki yangu. Baba nawajibuka kwa kila.kitu chake.
Huo ndio uanaume na sio hizo sarakasi na ndio maana vijana sasa wananyanyasika kwe ye ndoa sababu na kupenda kubebwa na wanawake.
Akaze,akizidisha kulia lia ataolewa yeye.Stress mambo magumu, mke anakuja kumuongezea mzigo, kuishi peke ake ishu.... Mie namuelewa
50/50 is realBe a gentleman,achana na wamarekani 50/50 haipo
Umechanganyikiwa ww nina miaka 57+ naongea kitu ninachokifahamu.Hahaaaaaa huo ndio ukweli dogo. Nina watoto 4, wa kwanza ni umri wako. Nina enjoy kwenye ndoa japo hujajibu, baba yako hakuwa lijali kumuoa mama yako?
Mnajidanganya sana kuwa ukifa familia yako haitaishi kama mama hafanyi kazi au kuwa na ajira rasmi. Je kabla hujakutana na huyo mkeo alikuwa anaishije?Umewahi kuwaza siku uki R.I.P unaacha familia ya aina Gani? Au unadhani unamkataba na Mungu wa kuishi milele? Jamaa Yuko Sahihi,hasa situation ambayo wote mnafanyakazi,na Mwanamke hawajibiki Kwa chochote,akiamini ni kazi ya mume.
Sister,tuhitimishe kwamba huielewi ndoa ndiyo maana unakosa hoja yenye mantiki kutetea ulichosema wanawake wanaingia kwenye ndoa kwenda kuchuma mali.Ndio kujitajirisha 🤣🤣🤣
Acha kudeka50/50 is real
Ilikuwepo tangu Karne nyingi zilizopita
Tatizo fedha inawafanya mfikiri kuwa 50/50 haikuwepo
Lakini ilikuwepo katika kulima pamoja na kuhudumia mifugo pamoja
Umeandika kwa hasira mkuuNdio, napinga!,
Ni dhana ya uongo na inakiuka kabisa asili ya maisha ya ndoa!
Ndoa ni muunganiko wa mtu mume na mtu mke na kuzaa watoto Kisha kuwatunza. Jumuia hii ya familia inahitaji mahitaji mbalimbali ya maisha kwa maendeleo yake.
Kuna watu wachache wanaibuka hapa bila hata chembe ya aibu na kutaka kuuaminisha umma kuwa mtu mume yampasa kutafuta mahitaji ya familia but mtu mke pamoja na watoto hawawajibiki.
Wanaume wanapolalamika kwamba wanawake kwenye ndoa wanapenda kuhudumiwa zaidi kuliko kuhudumia, wanaibuka watu Hawa na vicomment vyao eti ni jukumu la mume kuprovide, na hiari ya mke kuprovide! Salaleee!
Najaribu kujiuliza hii dhana wanaitoa wapi?
Ni taasisi gani imefundisha hivi? Au ni ubunifu katika fikra zao?
Katika ukristo haipo sijui kule kwa wenzetu!
Kwa wakristo ipo wazi;
"Zaeni mkaongezeke, mkaijaze dunia na kuimiliki"
Kauli ya Mungu kwa mume na mke ikiashiria ushirikiano wa pamoja katika kuijenga familia na dunia kwa ujumla.
"Si vema mwanaume awe pekeyake, nitamfanyia msaidizi wake"
Kauli ya Mungu ikiashiria matakwa yake ya mke kuwa msaidizi kwa mume. Then why mume awe provider bila kusaidiwa?
"Mume na mke watawaacha wazazi na kuungana na kuwa mwili mmoja"
Kauli ya Mwana wa Mungu ikiashiria ndoa ni mshikamano kwa Raha na shida Hadi kifo kiwatenganishe.
Then mshikamano gani huo wa mmoja kuprovide?
" Mwanamke amtii mumewe na Mwanaume ampende mkewe"
Kauli ya mtume wa Mwana wa Mungu ikiashiria kuwa mwanamke awe tayari kutumika kwa hali na Mali mbele ya mumewe.
Maisha halisi ya mwanadamu tangu kale yapo wazi. Mwanaume na mwanamke wamefanya kazi pamoja kwa ajili ya maisha yao
Tangia enzi za Adam na Eva, enzi za manabii, enzi za Yesu Kristo, nyakati za mitume, nyakati za mwanzo za kanisa katoliki, nyakati za mtume Mohammed Hadi leo, Mume na mke wameshirikiana katika kazi
Wamelima pamoja, wamefuga pamoja.
Mume alivua samaki na mke aliwapika wakala,
Mume alitengeneza visu na mke alitengeneza vyungu na makapu wakauza na kupata ridhiki ya maisha yao
Hayo yote yalifanyika kwa maelfu ya miaka iliyopita!
Vipi wewe Leo kisa una kijikampuni chako unapata fedha, eti unaanza kuleta propaganda kuwa mahitaji ya familia ni jukumu la mume!
Ikumbukwe dunia imebadilika.
Kwa Sasa uchumi hauna mwenyewe Tena.
Mwanaume au mwanamke aweza kuhodhi uchumi mkubwa.
Leo hii mke aweza kuwa waziri au Raisi na akapata mamilioni ya fedha.
Je, hayo mamilioni ya fedha apeleke wapi iwapo hapaswi kuprovide na kujenga familia yake?
Leo una mshahara mnono au kampuni inakupa fedha nyingi halafu unahisi unaweza kuhudumia familia kwa 100%, then unaanza kuwatukana waume wenzako kuwa hawatakiwi kushirikiana na mke katika kuhudumia familia.
What if mtu Kama JPM anakufukuza kazi au anaifilisi kampuni yako, yule mke wako Afisa maendeleo ya jamii pale Halmashauri asihudumie familia yenu?
Unajua wakati mwingine watu wakiwa na pesa, pesa zinawalevya na wanaongea vyovyote!
Hii dhana ya wanawake kupenda kuhudumiwa tu bila kuwajibika hata Kama uwezo wanao ni dhana mpya! Na imejengwa na waume wenye fedha pale wanapowarubuni kwa kuwaambia, " we mtoto mzuri hautakiwi kupata shida, wakati Mwanaume nipo kwa ajili yako, nitakuhudumia chochote utakacho!"
Kauli hizi zimewaharibu wanawake wengi sana.
Mabibi na mabibi zao tangu kale hawakujua huu ujinga. Wao walijua kuolewa Ni kazi! Kuamka, kufanya usafi, kwenda kushirikiana na mume shambani, au malisho ya Ng'ombe!
Leo mwanamke anamshahara wake hataki utumike nyumbani!
Kwani Kuna tofauti gani na bibi yetu aliyesuka kapu akauza na pesa ikatumika nyumbani?
Hivi nyie wanaume muliyewapotosha wanawake kwa dhana potofu ya Mume Ni Provider, mumetumia msingi gani wa Elimu?
Hapana, Mume na mke wawajibike pamoja kuijenga familia. Mume ukiamua kuwa provider, na iwe kwa maamuzi yako, na usishinikize kuwa principle ya ndoa. Kwani maisha hayo si asili ya mwanadamu tangu kale. Labda Kama unakusudia kuleta mapinduzi ya mfumo wa uwajibikaji katika ndoa!
Kuna sehemu nilisoma andiko la mwanamke akiwahoji wanaume kwanini awajibike kumtii mume wakati anasaidia kuprovide mahitaji ya ndani?
Swali hili ni sawa na kumhoji mkurugenzi kwanini umtii wakati unachangia maendeleo ya taasisi? Swali hili alitakiwa aliulize Eva kwa Mungu wake.
Bahati mbaya cheo hiki alishapewa Mwanamume tayari. Ukimtii Mungu utatii na Neno lake. Familia ni taasisi ambayo lazima awepo kiongozi wakuweka direction za maisha. Hata hivyo haulazimiki kutii chochote. Unapaswa kumtii mume kwa yote yaliyomema. Mungu alishafanya uteuzi, labda tusubiri utenguzi na ateuliwe mwanamke siku za usoni!
Mke wajibika kuprovide kwa familia yako pale inapowezekana. Usikwepe wajibu ilihali mukiachana unadai mgao hamsini kwa hamsini.
Mume akifa unadai urithi wa Mali zote!
Hata hivyo, hapa, nikiri kwamba asilimia kubwa ya wanawake wanajitoa na kuprovide kwa familia zao. Asanteni Sana!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uko Sahihi Kwa Hilo,asilimia mia,sikuwa na Hela ya kulipia Ada za Watoto,mpaka nakopa Kwa ndugu,kumbe mke ana Hela nyingi tu benki! Yuko lazi alipie ada watu Baki lakini sio Watoto wetu! Alaaniwe aliyefundisha ujinga huo wanawake.Ndio, napinga!,

Acha uongo dogo. Hii ni Chai, kwa uandikacho hata 20's huna na kama una hiyo miaka badi ni yale mazee mahuni, mamaskini, malevi na mazee yasiyojitambua. 😀😃😄😁😆Umechanganyikiwa ww nina miaka 57+ naongea kitu ninachokifahamu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Uko Sahihi Kwa Hilo,asilimia mia,sikuwa na Hela ya kulipia Ada za Watoto,mpaka nakopa Kwa ndugu,kumbe mke ana Hela nyingi tu benki! Yuko lazi alipie ada watu Baki lakini sio Watoto wetu! Alaaniwe aliyefundisha ujinga huo wanawake.
Wanaume wengi Wana stress za Maisha na kufa mapema kwakuwa hawana Msaada toka Kwa anayepaswa kuwa Msaidizi.
Mkuu umeongea kwa uchungu sana ila ukweli utabaki palepale NDOA NI UTAPELIKukataa ndoa ni kukwepa majukumu na wajibu wa msingi kama wanadamu, iwe mwanamke ama mwanaume.
Bila ndoa uwezekano wa kujenga familia na taifa imara na bora ni mdogo sana.
Familia ndiyo msingi na muhimili muhimu sana katika taifa. Mtu anayepinga ndoa, anapinga pia familia. Hao ni agents wa anarchy and chaos katika jamii yoyote ile.
Bila ndoa, mtoto atafaidikaje na upendo wa wazazi, ndugu, jamaa, marafiki na majirani - jambo ambalo ni muhimu sana kwa malezi, makuzi, maendeleo ya kijamii na kielimu kwa mtoto, na mafanikio yake maishani?
Kwa ufupi, Chama cha Kataa Ndoa (CHAKANDO), kama lilivyo jina husika, ni chaka la visingizio na kukwepa uwajibikaji.
Serikali iliangazie suala hili kwa jicho la tatu na tena kwa mawanda yote, na wanachama wake wote wakabiliwe na mkono wa sheria kwa kuihujumu nchi rasilimali watu bora, kwa namna moja au nyingine.
Chama cha Kataa Ndoa ni adui namba moja dhidi ya mustakabali bora wa taifa.
Kuna vijana wanapenda maisha tulivu Tanzania hii isiyo na kichwa wala miguu yaani ikienda kama inarudi ikirudi kama inaenda,nani atakupa hayo maisha kama hujapambana jinsi natural inavyotaka?No matter what,a man is a man Wacha kuwa legelege iba pora wewe ndio Kichwa Cha family
Huna akili! Nashang'aa sana unavyokazania suala la umaskn??! Unanijua? Au ndo ujinga umekujaa u ignorant fool.Acha uongo dogo. Hii ni Chai, kwa uandikacho hata 20's huna na kama una hiyo miaka badi ni yale mazee mahuni, mamaskini, malevi na mazee yasiyojitambua. 😀😃😄😁😆
Kwanini yeye afanywe kuwa special namna hiyo na sio mimi mwanaume?Kwa nini ukamtwae nyumbani mwa wazazi wake, kama huwezi ama hutaki kumtunza?
Kwao alikuwa anakula na kuvishwa vizuri hadi siku ulivyomtia maneno maneno yako ya ushawishi hadi akakubali kuishi na wewe.
Mwanaume anayekwepa majukumu yake, hana sifa za kuitwa mwanaume. Shame on you!
Analeta pigo za ki rainbowKuna vijana wanapenda maisha tulivu Tanzania hii isiyo na kichwa wala miguu yaani ikienda kama inarudi ikirudi kama inaenda.
Ujinga sana mtoto wa kiume kulia lia atunzwe na mkewe,siku mkewe maisha yatakuwa magumu ndani amshauri wakaoelewe wote akubali.
Hili suala nishaliongelea sana humu ndani. Ikiwa tupo kwenye ulimwengu wa 50/50 ambapo mwanamke kapewa uhuru na access zote za kujitafutia inakuaje mwanaume abebeshwe jukumu la kumuhudumia? Mwanamke kapewa ajira, ukishapewa ajira maana yake automatically unaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi sasa kivipi mwanamke huyu bado anataka kuhudumiwa. Wanaume dhaifu wanaotegemea kuficha udhaifu wao kwa kutoa pesa na wadangaji wakaishia kuniambia "tafuta hela". Katika suala la mapenzi mimi kanuni yangu ni kwamba kama unajiuza taja bei twende lodge tukamalizane na kama unataka tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi basi kila mtu awajibike kuleta kitu mezani.Ndio, napinga!,