Napinga kabisa dhana ya "Mume ni Provider" katika ndoa

utafiti kidogo tu utajua asili ya ndoa, muasisi wa ndoa, miiko na miongozo ya ndoa. Ukiyajua haya, itakufaa sana
Nimeshaandika kwa ufupi kwenye Makala yangu!

Ila nikujuze tu, asilimia zaidi ya 80 ya ndoa za Tanzania, Afrika na ulimwenguni kote wamama wanawajibika!

Ni Wanawake wachache wanaohisi ndoa ni fursa Yao ya kujinufaisha kimaisha

Ni Wanaume wachache waliolewa mafanikio ya kiuchumi wanaweza kuhudumia familia kwa 100% wanaeneza propaganda chafu ya kuaminisha jamii kuwa mwanamke hapaswi kuwajibika kwenye familia

Propaganda Hizi zinaharibu upendo na mshikamano wa wanandoa ktk kujenga familia kwa Hali na mali
 
Hahahaha
Nimekupenda ghafla

Kumbe upo kwa direction yangu!!
 
Hata kuchapiwa utakuwa huchapiwi wewe.
 
"But if any provide not for his own, and specially for those of his own house, he hath denied the faith, and is worse than an infidel".
- 1 Timothy 5:8, KJV

Mwanaume asiyetoa kwa familia yake ameikana imani na ni mtu mbaya kuliko hata mpagani. Kama wewe ni mkristo ni wajibu wako kuhudumia wote walio ndani ya nyumba yako. Hata mgeni unatakiwa uhakikishe kapata mahitaji yake ya lazima kama mgeni. Hiyo 50/50 ni mpango wa shetani kuwavuruga binadamu na sio vinginevyo.
 
Kupewa pewa ni ulemavu. Na ni kupromote umalaya. Mwanaume rijali hawezi kuendeleza ujinga huu. Ni mjinga.
 
Kumbe unaakili hivi🤣
 
Unalalamika sana, kama huwezi kuwa Leader, Protector and Provider kwenye familia yako huwezi kuwa kichwa na kwa wanawake wa kizazi hiki lazima ukione cha moto maana hutakuwa tofauti na walamba midomo. Tetea upuuzi tu.
 
Kwa maandishi haya, wapi panaelekeza mke si msaidizi wa provisions za nyumba?
 
Kupewa pewa ni ulemavu. Na ni kupromote umalaya. Mwanaume rijali hawezi kuendeleza ujinga huu. Ni mjinga.
Baba Yako alisaidiwa kujenga familia na mama yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…