Napinga kabisa dhana ya "Mume ni Provider" katika ndoa

Kazunguka sana ila ndo point yake hiyo
Sio kuzunguka, ni fact endelevu kwenye maisha!

Mama yako alikuwa anamsaidia baba Yako
Bibi Yako alikuwa anamsaidia Babu Yako

Sijaleta andiko hili Ili kujenga mwenendo mpya wa maisha, Bali kupinga mfumuko mpya wa maisha wa baadhi ya wanawake kulilia kujitenga na majukumu ya familia

Huo ni mfumo wa kikahaba, ambapo kahaba anapelekwa lodge anahudumiwa Kila kitu!
Sasa mentality hii inataka ipelekwe kwenye familia na kuundiwa Sheria iwe Sheria maalumu ya ndoa

No!
 
So, hapo kwako pia natumaini kazi kama za kuosha vyombo, kupika na kufua mnagawana pia na mke wako otherwise utakuwa ni mnafki tu
 
Hongera kwa kulishwa na kuveshwa ukiwa umejikalia bila kumsapoti mume kwa lolote

Eva mwenyewe alishirikiana began kwa began na Adamu kulima ngano na kufuga kondoo kwa ustawi wa familia yao
What if mimi ndio nalisha na kuvishq?
 
Usaidiweee naunga mkono usaidiwe
Evelyn Salt
Issue sio kusaidia
Bali ni kuwajibika kwa familia yake
Mwanamke sio kabati kwamba limenunuliwa kuwekwa ndani,

Familia ni ya Mume na mke
Ni majukumu yao pamoja!

Mume akifa, familia inabaki na mama na Wala haipelekwi kwa ndugu wa mume
Mali zote za familia zinabaki na mama na Wala hazipelekwi kwa ndugu wa mume

Mume na mke wakiachana, Mali yote ni mgao wa nusu kwa nusu na wala haibaki kwa mume ambaye wewe unamuona ndio mwenye familia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wacha weeee, kimsingi unakua mmeoana shemegi au sio.....
 
Wacha weeee, kimsingi unakua mmeoana shemegi au sio.....
Yes, marrying each other!

Je, thamani ya ndoa yako, ishushwe kwa ajili ya neno dogo "kuoa na kuolewa"

Akifa mumeo wakaja ndugu wa mume kuchukua Mali kwa msingi kuwa wewe uliolewa tu utakubali?

Mume akikuacha na asikupe chochote kwa msingi kuwa alikuoa tu, utakubali?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tuanzie hapo kwene WEAK MAN

we olewa tu hamna chochote tunaweza kukusikiliza
 
MWANAUME UTAKULA KWA JASHO NA MWANAMKE UTAZAA KWA UCHUNGU.

basi zaa wewe kwa UCHUNGU, kuliko kuandika thread ndeeeeeeefu!
MAELEOZO MEENGI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…