Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Huyu mama hatupendi kabisa watanganyika. Watanganyika wote inabidi mlijue hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilijua baada ya kupata taarifa kupitia vyombo rasmiWe ulijua je Kama kajiteka lakini au unaleta kauli taarifa
Huyu mama Hajui ni machungu gani tunayopitia sisi tuliopotelewa na ndugu zetu, Ila malipo ni hapa hapa duniani, Allah atalipa.Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema?
Kwa Rais kusema hadharani kwamba masuala ya kutekwa watu yanayoendelea kwenye nchi anayoiongoza ni Drama, si tu kwamba ni uongo lakini pia ni kejeli isiyokubalika, Yaani watu watekwe na kupelekwa polisi na baadaye kutupwa kusikofahamika halafu tuaminishwe kwamba hizo ni Drama! ili kuamini jambo hili Tunapaswa tusiwe na akili kabisa au tuwe tumenyofolewa ubongo.
Ni kweli kwamba Mkubwa hakosei, lakini kwenye hili Mama Kakosea na anapaswa kuomba radhi, Vinginevyo awe tayari kuhusishwa na utekaji unaoendelea na kwamba Yeye ndiye anayewatuma Watekaji na ameamua kufunika ili kuepuka lawama.
View attachment 3047088View attachment 3047092
Niliweka uzi hapa kwamba familia ya Sativa ikatae msaada ule, lakini uzi ule uliondolewa bila hata kuomba majiMpaka watu waanze kulipiza kisasi kwa watoto wao na jamaa zao ndiyo CCM watapata uchungu. Chadema na watu wengine wanaonekana ni wanyama tu kwa saerikali ya Samia. Nahisi pressure imekuwa kubwa na nahisi kuanzia sasa utekaji utapungua maana watekaji wameahaanikwa wazi. Ila Rais Samia anajidhalilisha sana. Alitoa milioni 35 kwa Sativa huku anajiua ni drama? Dah tumemkosea nini Mungu mpaka tumepata viongozi uchwara kama hawa? Hata common sense hakuna hata kidogo? Wazazi wa Kombo aliyetekwa na kushikilliwa na kuteswa kwa siku 29 na polisi watasijisikiaje wakisikisia magapishi kama haya. Watanzania tunatakiwa kuungana pamoja kukomesha hii hali kwa njia zozote zinazowezekana.
Kiswahili inaweza ikawa ni lugha ngumu kueleweka licha ya kwamba ndio lugha ya Taifa. Kama ulisikiliza mwanzo mwisho utabaini Rais hakusema kwamba kila tukio mtu kajiteka na alianza kuzungumzia tatizo na baadae ndio akasema kwamba wengine wanajiteka na mfano wa mtu kujiteka upo pengine umesahau tu, ABDUL NONDO aliwahi kujiteka kipindi cha Hayati Magu
Si Sawa nchi kuwa na kiongozi ambaye mara anapotoa hotuba tunamtafuta Karlo Mwilapwa kutoa ufafanuzi.Kiswahili inaweza ikawa ni lugha ngumu kueleweka licha ya kwamba ndio lugha ya Taifa. Kama ulisikiliza mwanzo mwisho utabaini Rais hakusema kwamba kila tukio mtu kajiteka na alianza kuzungumzia tatizo na baadae ndio akasema kwamba wengine wanajiteka na mfano wa mtu kujiteka upo pengine umesahau tu, ABDUL NONDO aliwahi kujiteka kipindi cha Hayati Magufuli
Huna ushahidiAbdul Nondo 🐼
Sio sawa watu kushindwa kuelewa lugha yao vizuri na kwa makusudi kuamua kupotoshaSi Sawa nchi kuwa na kiongozi ambaye mara anapotoa hotuba tunamtafuta Karlo Mwilapwa kutoa ufafanuzi.
Samia ni mfano wa mtu mjinga mjinga aliyepewa cheo kikubwa sana kuliko uwezo wake.Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema?
Kwa Rais kusema hadharani kwamba masuala ya kutekwa watu yanayoendelea kwenye nchi anayoiongoza ni Drama, si tu kwamba ni uongo lakini pia ni kejeli isiyokubalika, Yaani watu watekwe na kupelekwa polisi na baadaye kutupwa kusikofahamika halafu tuaminishwe kwamba hizo ni Drama! ili kuamini jambo hili Tunapaswa tusiwe na akili kabisa au tuwe tumenyofolewa ubongo.
Ni kweli kwamba Mkubwa hakosei, lakini kwenye hili Mama Kakosea na anapaswa kuomba radhi, Vinginevyo awe tayari kuhusishwa na utekaji unaoendelea na kwamba Yeye ndiye anayewatuma Watekaji na ameamua kufunika ili kuepuka lawama.
View attachment 3047088View attachment 3047092
Acheni kusema wana mu misinform, haya mambo yako wazi kabisa hakuna cha kuwa mis informed hapo.Watoto wa-shule wanatekwa wanafanyiwa unyama , watu wanachapwa risasi za kichwa bado ni drama … Mama wanaku-misinform hao jamaa
Ndio maana tunasema hao wafanya drama wasakwe na wachukuliwe hatua haraka sanaAcheni kusema wana mu misinform, haya mambo yako wazi kabisa hakuna cha kuwa mis informed hapo.
Yeye mwenyewe ndiye anayefanya spinning.
Acheni drama na nyie mna rekodi ya kujiteka kutafuta kiki.Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema?
Kwa Rais kusema hadharani kwamba masuala ya kutekwa watu yanayoendelea kwenye nchi anayoiongoza ni Drama, si tu kwamba ni uongo lakini pia ni kejeli isiyokubalika, Yaani watu watekwe na kupelekwa polisi na baadaye kutupwa kusikofahamika halafu tuaminishwe kwamba hizo ni Drama! ili kuamini jambo hili Tunapaswa tusiwe na akili kabisa au tuwe tumenyofolewa ubongo.
Ni kweli kwamba Mkubwa hakosei, lakini kwenye hili Mama Kakosea na anapaswa kuomba radhi, Vinginevyo awe tayari kuhusishwa na utekaji unaoendelea na kwamba Yeye ndiye anayewatuma Watekaji na ameamua kufunika ili kuepuka lawama.
View attachment 3047088View attachment 3047092
Shetani hana rafiki, zamu yako itafika tuAcheni drama na nyie mna rekodi ya kujiteka kutafuta kiki.