Pre GE2025 Napinga Kauli ya Rais Samia kwamba Utekaji ni Drama, hii ni dharau kwa Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Damu gani tena?
Furahia sasa sheikh...hata magufuli alikuwa na watu kama wewe....
Ndio Kwa sababu wengine ni drama na wengine huenda ni kweli ndio maana kawataka Polisi wamalize kadhia hiyo.

Acheni kudhalilisha wenzenu.kwa.visingizio vya Demokrasia
Mtu akkkudhalilisha si mahakama ipo? Unafikiri watu wataacha kumkosoa kama watu wanaomkosoa watauwawa? Ataendelea kukosolewa saana.
 
Furahia sasa sheikh...hata magufuli alikuwa na watu kama wewe....

Mtu akkkudhalilisha si mahakama ipo? Unafikiri watu wataacha kumkosoa kama watu wanaomkosoa watauwawa? Ataendelea kukosolewa saana.
Sasa wasilalamike saaana
 
Furahia sasa sheikh...hata magufuli alikuwa na watu kama wewe....

Mtu akkkudhalilisha si mahakama ipo? Unafikiri watu wataacha kumkosoa kama watu wanaomkosoa watauwawa? Ataendelea kukosolewa saana.
Huyo mamluki anadhani kuwa mpambe wa Hangaya basi yuko Salama, Amesahau ya Nape
 
Kwahio kipindi cha JPM mtu akipotea ni Serikali kipindi hiki kila kitokeacho ni Drama ?

Nadhani yeye kama kiongozi angesema haya mambo yafuatiliwe na yoyote atakayeshikwa au amehusika awajibishwe hata kama ni drama ashikwe kwa kuleta sintofahamu na kama kweli ametekwa waliomteka wawajibishwe pia...

Majibu rahisi rahisi hayafai kutoka kwa mtumishi wetu tunayemlipa kodi zetu ili pamoja na mambo kama haya yasitokee..., Tukiendelea hivyo hata yule Albino aliyeshikwa tutasema zilikuwa drama...
 
Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema?

Kwa Rais kusema hadharani kwamba masuala ya kutekwa watu yanayoendelea kwenye nchi anayoiongoza ni Drama, si tu kwamba ni uongo lakini pia ni kejeli isiyokubalika, Yaani watu watekwe na kupelekwa polisi na baadaye kutupwa kusikofahamika halafu tuaminishwe kwamba hizo ni Drama! ili kuamini jambo hili Tunapaswa tusiwe na akili kabisa au tuwe tumenyofolewa ubongo.

Ni kweli kwamba Mkubwa hakosei, lakini kwenye hili Mama Kakosea na anapaswa kuomba radhi, Vinginevyo awe tayari kuhusishwa na utekaji unaoendelea na kwamba Yeye ndiye anayewatuma Watekaji na ameamua kufunika ili kuepuka lawama.

View attachment 3047088View attachment 3047092
Mbona na mfano katoa hali c mbaya kama mnavoipamba .tatizo matatizo yote mnayausisha na siasa
 
kama hata Samia hajui wanaoteka watu,basi hata yeye hayuko salama.ipo siku watamteka.
Already happened.
Kutekwa si lazima usionekane hadharani. Kuna kutekwa kwa "blackmailed" na pia kupo kwa kuwa miss informed.
 
Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema?

Kwa Rais kusema hadharani kwamba masuala ya kutekwa watu yanayoendelea kwenye nchi anayoiongoza ni Drama, si tu kwamba ni uongo lakini pia ni kejeli isiyokubalika, Yaani watu watekwe na kupelekwa polisi na baadaye kutupwa kusikofahamika halafu tuaminishwe kwamba hizo ni Drama! ili kuamini jambo hili Tunapaswa tusiwe na akili kabisa au tuwe tumenyofolewa ubongo.

Ni kweli kwamba Mkubwa hakosei, lakini kwenye hili Mama Kakosea na anapaswa kuomba radhi, Vinginevyo awe tayari kuhusishwa na utekaji unaoendelea na kwamba Yeye ndiye anayewatuma Watekaji na ameamua kufunika ili kuepuka lawama.

View attachment 3047088View attachment 3047092
Wewe wacha porojo, kama unawajuwa waliotekwa kweli waelezee hapa, sisi gtunaoona ni drama tuyajuwe.
 
Kama taifa tuna zigo letu la misumari tumejibebesha, linatuchoma tu mda wote..yaani vingine hata kusoma havifai kabisa.
 
Wakati nafikiria kuandika uzi huu, niliogopa kidogo kwa hofu hiyo hiyo ya kutekwa, lakini nikajipa moyo kwamba tukinyamaza hapa JF ni nani mwingine atasema?

Kwa Rais kusema hadharani kwamba masuala ya kutekwa watu yanayoendelea kwenye nchi anayoiongoza ni Drama, si tu kwamba ni uongo lakini pia ni kejeli isiyokubalika, Yaani watu watekwe na kupelekwa polisi na baadaye kutupwa kusikofahamika halafu tuaminishwe kwamba hizo ni Drama! ili kuamini jambo hili Tunapaswa tusiwe na akili kabisa au tuwe tumenyofolewa ubongo.

Ni kweli kwamba Mkubwa hakosei, lakini kwenye hili Mama Kakosea na anapaswa kuomba radhi, Vinginevyo awe tayari kuhusishwa na utekaji unaoendelea na kwamba Yeye ndiye anayewatuma Watekaji na ameamua kufunika ili kuepuka lawama.

View attachment 3047088View attachment 3047092
Unapinga wewe kama nani,ukiombwa ushahidi unaenda kumpigia mbowe magoti,acha ujinga wewe fanya soasa kwa hoja sio maelekezo ya Sultan
 
Back
Top Bottom