Pre GE2025 Napinga Kauli ya Rais Samia kwamba Utekaji ni Drama, hii ni dharau kwa Wananchi

Pre GE2025 Napinga Kauli ya Rais Samia kwamba Utekaji ni Drama, hii ni dharau kwa Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Labda ni Magufuli ndio ana wateka hao wanaotekwa 😂😂😂😂😂!!
 
Tumeambiwa Mkwiru watu zaidi ya 300 wamepotezwa, na serikali hata haijakanusha wala kutokea maelezo habari hizi.

Hizo nazo ni drama?

Sativa jutekwa ni drama?
Inahuzunisha sana
 
Samia ni mfano wa mtu mjinga mjinga aliyepewa cheo kikubwa sana kuliko uwezo wake.

Na mambo kama haya yanaonesha ujinga wake.

Ni kama hausigeli mshamba katoka bush, asiyejua kusoma wala kuandika kapewa mtambo wa nyuklia aendeshe.
Umeandika wewe naogopa mimi
 
Back
Top Bottom