Pre GE2025 Napinga Kauli ya Rais Samia kwamba Utekaji ni Drama, hii ni dharau kwa Wananchi

Pre GE2025 Napinga Kauli ya Rais Samia kwamba Utekaji ni Drama, hii ni dharau kwa Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu punguza hizo negativity zako watakuzika mapema kwa magonjwa ya moyo,
Sasa kwenye hyo kauli ya Mh. Rais kipi chaajabu mpaka unaandika povu lote hili, Kwan hujawahi sikia mtu kajiteka?
 
Nimeangalia Taarifa y habari ITV...ni kama vile wamemsitiri mama yenu maana wameonesha vipande ambvyo anasema mambo mengine sio huu upupu wa drama....level ya kiongozi wetu No 1 inatia mashaka sana
Umemaliza?

Kuna wakati tanzania ina neema zaidi ya huu?

Kama unabisha muulize Mbowe, alitolewa wapi?
 
Kuna wakati Tanzania ina neema zaidi ya huu?

Kama unabisha muulize Mbowe, alitolewa wapi?
 
Hawa watu kama ni Kodi kuwalevya basi imewalevya kwelikweli !!.

Imagine ni Rais wa Nchi, Rais ambaye Mara Kadhaa anashuhudia Taarifa Mara Kwa mara juu ya Kupotea, kutekwa n.k Kwa Watanzania .

Leo unasimamia mbele ya watu kusema Utekaji ni DRAMA?.

Ukiachilia mbali Urais, anayoyasema hayo ni MWANAMKE ambaye ana watoto, hivi kweli mtoto wake ndio angekua ametekwa angediriki kusema haya?

Huu utekaji na mauaji ya kishenzi, hata Bungeni Akina MPINA wanasema Kila kukicha, Inakuaje wanyama wawe na haki sawa na uhai wa binadam?.

Kuna Vijana Kila siku wanapotea Kariakoo , hatuelezi chochote?.

Hawa watu wanaopotea, hata kama ni Wahaini, Si wakamatwe Kisha wafikishwe kwenye vyombo vya Sheria?.

Mambo ya Ajabu sana , tukubali tu, sisi Gen Z wa Tanzania ni wapuuzi, haiwezekan Vijana wenzetu tunaozunguka nao Kariakoo, wanapotea, ila kwakua sisi tuko salama kesho tunawahi kazin, tunasahau kua kesho ni zamu yetu.!!
 
Dah. Kama maneno ya Raisi yanawezwa kupindishwa hivi, sembuse kuhusu Ukweli mwingine.

Ni drama kama mtoto anajiteka kama walivyofanya wakina Mdude na wanaharakati wengine wa CHADEMA miaka ya nyuma.

Sio hivyo tu hata Mwandishi nae kaleta Drama.

Nchi hii, isitokee hawa CHADEMA washike Dola.

Hebu tafakari kidogo.

Yani itokee CHADEMA wameshika Dola(labda 2050😭) halafu kama zawadi huyu Erythrocyte ndie akawa Msemaji wa Serikali, ama Katibu mwenezi wa CHADEMA, itakuwaje?
 
Inshort tuna safari ndefu sana ya kupata kiongozi mwenye kulipenda taifa lake na kuthamini wananchi wake hasa kwa nchi zetu za kiafrica bado nasema bado.
 
Hivi nyie wapumbafuu kila jambo ni lazima mumtee huyu bibi yenu hata pale anapotoa kauli za kijinga??

Hivi ni kwamba hizo ajira pamoja na mianya ya rushwa iliyosababishwa na serikali yake dhaifu mnayonufaika nayo ndio imewatoa akili kiasi hiki cha kumtetea hata pale anapobeza suala linalohatarisha maisha ya watu?

Ndio maana hapa afrika mashariki nyie watanganyika ndio mnaongozwa kwa kudharauliwa na kila mtu.
Umepiga Kwenye mshono wa KIDONDA KIBICHI hongera sana 🙏🔥🔥
 
Sasa tumeshajua anayewatuma watekaji
Ufipa? Red Brigade?
=============
Mazingira wanayotengeneza CHADEMA, kwa Uhakika kabisa, nasema siku ikitokea(mungu utupishe na hawa) siku ikitokea hawa CHADEMA wameshika Dola, Watanganyika, Wazanzibari na Watanzania hwatoweza kujivunia Amani na Utulivu.

Chagua kwa Umakini 2025

Magulification must go on.
 
Kiswahili inaweza ikawa ni lugha ngumu kueleweka licha ya kwamba ndio lugha ya Taifa. Kama ulisikiliza mwanzo mwisho utabaini Rais hakusema kwamba kila tukio mtu kajiteka na alianza kuzungumzia tatizo na baadae ndio akasema kwamba wengine wanajiteka na mfano wa mtu kujiteka upo pengine umesahau tu, ABDUL NONDO aliwahi kujiteka kipindi cha Hayati Magufuli
Ndugu, hiki kiswahili unachoona kinaweza kuwa lugha ngumu ni lazima pia kupima na uzito wa maneno kulingana na nani anayaongea.

Huyu Rais wa nchi mwaka jana alianza kwa kueleza tatizo la upigaji then akamalizia kwa kuwambia viongozi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake na madhara yake yanaonekana.
 
Mkuu punguza hizo negativity zako watakuzika mapema kwa magonjwa ya moyo,
Sasa kwenye hyo kauli ya Mh. Rais kipi chaajabu mpaka unaandika povu lote hili, Kwan hujawahi sikia mtu kajiteka?
Utakufa wewe kwa umasikini mimi nitabaki, kapuku mkubwa we!
 
Back
Top Bottom