Pre GE2025 Napinga Kauli ya Rais Samia kwamba Utekaji ni Drama, hii ni dharau kwa Wananchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama Chadema wanapenda huo mchezo sana

Usishangae Ukasikia Lema katekwa kumbe maandalizi ya kurudi kwa mabibi na mbwana huko Kanada
 
Huyu mama Hajui ni machungu gani tunayopitia sisi tuliopotelewa na ndugu zetu, Ila malipo ni hapa hapa duniani, Allah atalipa.
 
Niliweka uzi hapa kwamba familia ya Sativa ikatae msaada ule, lakini uzi ule uliondolewa bila hata kuomba maji
 

Si Sawa nchi kuwa na kiongozi ambaye mara anapotoa hotuba tunamtafuta Karlo Mwilapwa kutoa ufafanuzi.
 
Samia ni mfano wa mtu mjinga mjinga aliyepewa cheo kikubwa sana kuliko uwezo wake.

Na mambo kama haya yanaonesha ujinga wake.

Ni kama hausigeli mshamba katoka bush, asiyejua kusoma wala kuandika kapewa mtambo wa nyuklia aendeshe.
 
Watoto wa-shule wanatekwa wanafanyiwa unyama , watu wanachapwa risasi za kichwa bado ni drama … Mama wanaku-misinform hao jamaa
 
Duniani kote elimination method hufanyika Kwa wale wanaohafarisha maslahi mapana ya nchi, hivo tuwe makini tusiharibu taswira ya nchi yetu Kwa kinachoitwa dramma, na hao wafanya dramma watafutwe na wachukuliwe hatua
 
Watoto wa-shule wanatekwa wanafanyiwa unyama , watu wanachapwa risasi za kichwa bado ni drama … Mama wanaku-misinform hao jamaa
Acheni kusema wana mu misinform, haya mambo yako wazi kabisa hakuna cha kuwa mis informed hapo.

Yeye mwenyewe ndiye anayefanya spinning.
 
Acheni kusema wana mu misinform, haya mambo yako wazi kabisa hakuna cha kuwa mis informed hapo.

Yeye mwenyewe ndiye anayefanya spinning.
Ndio maana tunasema hao wafanya drama wasakwe na wachukuliwe hatua haraka sana
 
Acheni drama na nyie mna rekodi ya kujiteka kutafuta kiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…