Pre GE2025 Napinga kauli za Rais Samia kwamba Uchaguzi wa Serikali za mitaa ulikuwa wa Utulivu na Amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu mama kumbe naye bure kabisa, bure bure bure
 
ushahidi wa hiki unachokisema uweke hapa
Msikilize baada ya kuombwa kugombea tena uenyekiti

Masaa mawili alijikita zaidi kuelezea faida za maridhiano , kwa muktadha huo mwenyekiti mwenza kaja na majawabu sahihi ya nini faida ya maridhiano
 
Msikilize baada ya kuombwa kugombea tena uenyekiti

Masaa mawili alijikita zaidi kuelezea faida za maridhiano , kwa muktadha huo mwenyekiti mwenza kaja na majawabu sahihi ya nini faida ya maridhiano
Hii ilikuwa ni early Process ya maridhiano, maridhiano kama yako yamefanikiwa kiasi kidogo..... mambo makubwa mawili bado.. Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi....
1. Samia angeliweza kushupaza shingo kuwa hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna "akina Lisu kurudi nchini, wangelimfanya nini?
Ila nakubali kuwa hakuna kumshukuru Samia kwa hayo maana ilikuwa ni haki iliyoporwa ku dictator
 
Mpinge kwa Sultan Freeman, mgombea aliyetoa 250 million shilings kufadhili uchaguzi ndani ya chama.
Lakini vilevile, mwenyekiti wako anasema faida mojawapo ya maridhiano ni kuwepo kwa uchaguzi huru na haki. Sasa wewe nyumbu unamchallenge Mh. Rais badala ya kuanzia kwa Sultan wako.
 
Unambishia Wenje?
 
Kamwe Samia asingelishupaza shingo maana ndio alikuwa anaingia ikulu achilia mbali yeye alivyokuwa anatamani Tanzania iwe tofauti na mtangulizi wake

Na ndio maana waliokuwa wameonewa na kudhulumiwa haki zao hakuna walichokipata kwenye hayo maridhiano

Zaidi Samia na CCM yake ndio walipata faida zaida . Matembezi ya CDM yalikuwa na faida gani nchi nzima kama sio kuionyesha Dunia TANZANIA ni nchi ya kidemokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…