johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata Tundu Lisu na CPA Ruge walindwe sanaUongo ni dhambi kuu, hizo elfu 7 mnazolipwa hazitawafikisha popote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Tundu Lisu na CPA Ruge walindwe sanaUongo ni dhambi kuu, hizo elfu 7 mnazolipwa hazitawafikisha popote
Ulitaka Mbowe ashinde ndio uwe wa haki?😁Ukiisha ndio inakuwa kweli kuwa ulikuwa huru na haki?
Huyu mama kumbe naye bure kabisa, bure bure bureHata kama wanasema Mkubwa hakosei na wala hapingwi, lakini ni lazima ifahahamike kwamba Mungu amekataza Wanadamu kushiriki dhambi ya uongo.
Na kwa vile Mimi namuogopa Mungu kuliko wanadamu nakataa uongo huu wa wazi bila kujali aliyeutoa ni nani.
Hivi Uchaguzi ule ambao Wagombea wa Chadema wameenguliwa, wametekwa na kuuawa unawezaje kusema ulikuwa Uchaguzi wa Haki?
Ni kweli kwamba Watanzania ni Wajinga, lakini siamini kwamba ni Wajinga kwa kiwango cha kudanganywa kijinga namna hii, Vinginevyo anayetaka kuaminisha watu kwamba Watanzania ni Wajinga kwa kiwango hiki basi labda Ameamua kuwadharau kwa vile yeye ana vyeo vya bure.
Hivi kweli kuna Mwananchi mwenye akili timamu anaweza kuelewa akiambiwa uchaguzi ule ulikuwa huru na haki?
View attachment 3189602
Pia soma
- Salamu za Mwaka Mpya za Rais Samia kwa Watanzania
Kipindi hicho unahtaji mwenyekiti wa chama aendelee aliopo ambaye anakubaliana na upuuzi huuHuyu mama kumbe naye bure kabisa, bure bure bure
ushahidi wa hiki unachokisema uweke hapaanakubaliana na upuuzi huu
Msikilize baada ya kuombwa kugombea tena uenyekitiushahidi wa hiki unachokisema uweke hapa
Hii ilikuwa ni early Process ya maridhiano, maridhiano kama yako yamefanikiwa kiasi kidogo..... mambo makubwa mawili bado.. Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi....Msikilize baada ya kuombwa kugombea tena uenyekiti
Masaa mawili alijikita zaidi kuelezea faida za maridhiano , kwa muktadha huo mwenyekiti mwenza kaja na majawabu sahihi ya nini faida ya maridhiano
Unambishia Wenje?Hata kama wanasema Mkubwa hakosei na wala hapingwi, lakini ni lazima ifahahamike kwamba Mungu amekataza Wanadamu kushiriki dhambi ya uongo.
Na kwa vile Mimi namuogopa Mungu kuliko wanadamu nakataa uongo huu wa wazi bila kujali aliyeutoa ni nani.
Hivi Uchaguzi ule ambao Wagombea wa Chadema wameenguliwa, wametekwa na kuuawa unawezaje kusema ulikuwa Uchaguzi wa Haki?
Ni kweli kwamba Watanzania ni Wajinga, lakini siamini kwamba ni Wajinga kwa kiwango cha kudanganywa kijinga namna hii, Vinginevyo anayetaka kuaminisha watu kwamba Watanzania ni Wajinga kwa kiwango hiki basi labda Ameamua kuwadharau kwa vile yeye ana vyeo vya bure.
Hivi kweli kuna Mwananchi mwenye akili timamu anaweza kuelewa akiambiwa uchaguzi ule ulikuwa huru na haki?
View attachment 3189602
Pia soma
- Salamu za Mwaka Mpya za Rais Samia kwa Watanzania
Leo Lissu atazungumza na Watanzania.Uongo ni dhambi kuu, hizo elfu 7 mnazolipwa hazitawafikisha popote
Uyo si ZawaZawa alimradi nyuzi ipo juu ata kama uharo wake yeye anatupia tu kubwa ovyo.Hata ukipinga itakusaidia nini wakati uchaguzi umeshaisha?😎
Kamwe Samia asingelishupaza shingo maana ndio alikuwa anaingia ikulu achilia mbali yeye alivyokuwa anatamani Tanzania iwe tofauti na mtangulizi wakeHii ilikuwa ni early Process ya maridhiano, maridhiano kama yako yamefanikiwa kiasi kidogo..... mambo makubwa mawili bado.. Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi....
1. Samia angeliweza kushupaza shingo kuwa hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna "akina Lisu kurudi nchini, wangelimfanya nini?
Ila nakubali kuwa hakuna kumshukuru Samia kwa hayo maana ilikuwa ni haki iliyoporwa ku dictator
Naamini
Wenje ni nani?Unambishia Wenje?