Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Pole sana naona mshaingizwa kwenye benchi la wanao ishi kama shetani, shemeji yako Gambo ndiyo hana kibarua tena
 
Ni lumumba mwenzako na haya anayosema ni kulingana na mlivyo fundishwa huko green guard
Rais Magufuli anasema fanyeni kazi Mambo ya kutegemea mtu yamepitwa na wakati, angalia Sasa umepaniki
 
Kijana mbona una panic? Ugetupatia kwanza story ya Gambo (DC enzi hizo) na Ntibenda kijiko (RC enzi hizo) kabla ya povu hili.
 
Aliyetoa ndie ametwaa!!

Anae lala na mama yako ndie baba yako

Hizi ni kanuni za kawaida kabisa wala hazihitaji mjadala
Mi nimeelewa tofauti kidogo...

Mwanaume akipata matatizo, mchepuko unaumia kuliko mke...

Nadhani na wewe utakuwa umemuelewa mleta mada sasa...
 
Gambo unakuja kujipigia debe kivingine?
Kiburi sio maungwana, ulijifanya kumuiga mtoto wa dalisalamu bila kujua kwa nini analindwa na baba Ona sasa! Yule hata akinyea mbeleko hashushwi mgongoni, ana makubwa afanyayo tunayajua sisi tuu wakubwa.
Sio vibaya ukidokeza kidogo.
 
“aliwa yuala, ala aliwa”

Kama walikuwa na migogoro walitakiwa wajue it’s not in their interest kuendelea nayo maana referee anaweza fyeka pande zote mbili.

Hila mtu kama Gambo ni kama alijitakia ukijumlisha na jina lake kujitokeza mara kwa mara kwenye siasa za ubunge kitu ambacho CCM ya Magu kama vile aipendi watu wenye nafasi kutaka kuwepo kila sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…