Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Wewe ukidharauliwa na walio chini yako hakuna njia ya kuwadhibu wa chini yako? iweje waliovunja Sheria ya kukosa nidhamu kwa boss na boss wote wanaondolewa? Huoni kuwa wa chini wataenda kuwadharau boss zao wakijua ikija tumbua inatumbua wote, CCM mnajenga misingi mibaya ya kutokuwa na nidhamu kwa boss wa juu hii inavuruga misingi ya utawala bora, hivi ikitokea kamanda mroto kumdharau IGP mtamtoa IGP au mtamtoa RPC?
Ni kweli subordinate wake walikuwa hawana maelewano Naye lakini pengine hata yeye anaweza kuwa na makandokando ambayo mamlaka ya uteuzi inayajua ambapo mimi na wewe hatuwezi yajua jiwe ain't that stupid he knows what's up.Naona kama unaegemea kwenye upande mmoja wa story
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Alishindwa kuwawajibisha

Besides, mkulu kachelewa sana kumuondoa mrisho
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Kaandamane
 
Ndiyo nyie amewaagiza msemee mitandaoni?
Kama unapinga mrudishe Ofisini huyo dogo Mrisho mwenye dharau nyingi, akiwa DC Korogwe alikuwa na nyido kama sistaduu, sijui ya kule Kigoma, lakini Chuga akajifanya Faru John.
Akalimee
 
Gambo tulia tu! Hasa kama unataka kuendelea kula mema ya nchi hii chini ya jpm. Huyu jamaa huwa hapendi kuwa challenged kabisa kuhusu maamuzi yake. Wewe mute tu, atakukumbuka baadae kwa mazuri yako (kama yapo, anyway!). Waulize Mwigulu, CAG (wa sasa), Simbachawene, kwa kutaja wachache.
 
Mwenye uzoefu atujuze kwa umri kama ule akitumbuliwa huwa anafanya nini hasa huko uraiani.
 
Vijana nchi hii ina fursa mbalimbali za kiuchumi msiitegemee serikali kutoa ajira kamateni fursa-Wanasiasa.

Aje mtaani akamate fursa sasa.
 
Uongozi Wa Arusha ulikuwa na mgogoro mkubwa sana na waislam wa arusha, baada ya kumega eneo la msikiti mkuu wa arusha, waislam walitaka kuleta fujo siku ya idd wakatulizwa na viongoz wao, huu mgogoro ndio umewaondoa mkurugexzi na mkuuwake, wala sio maugomz yao
...🙄🙄🙄...
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Huu wako nao ni uzwazwa!
 
Gambo hajajitetea bali sasa nidhamu haipo wa chini hana nidhamu kwa wa juu kisa ni mteuliwa wa mtukufu
Mbona sehemu nyingi pako hivo, piga jicho pale wizarani kuna wateuliwa wangapi wa Rais? lkn wanaheshimiana
 
Back
Top Bottom