EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Ni kweli subordinate wake walikuwa hawana maelewano Naye lakini pengine hata yeye anaweza kuwa na makandokando ambayo mamlaka ya uteuzi inayajua ambapo mimi na wewe hatuwezi yajua jiwe ain't that stupid he knows what's up.Naona kama unaegemea kwenye upande mmoja wa storyWewe ukidharauliwa na walio chini yako hakuna njia ya kuwadhibu wa chini yako? iweje waliovunja Sheria ya kukosa nidhamu kwa boss na boss wote wanaondolewa? Huoni kuwa wa chini wataenda kuwadharau boss zao wakijua ikija tumbua inatumbua wote, CCM mnajenga misingi mibaya ya kutokuwa na nidhamu kwa boss wa juu hii inavuruga misingi ya utawala bora, hivi ikitokea kamanda mroto kumdharau IGP mtamtoa IGP au mtamtoa RPC?