Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Pole sana naona mshaingizwa kwenye benchi la wanao ishi kama shetani, shemeji yako Gambo ndiyo hana kibarua tena
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
 
CCM wanachekesha sana ndiyo maana Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, Yaani mtu wa chini yako akiamua kumdharau mkubwa wake akawa na kiburi wanaamua kuwatoa wote? Dharau ya wa chini inamtoa yule boss wa juu? Mfumo wa kijinga sana huu, hii itawapelekea wakuu wa wilaya wengi kuanza kuwadharau wakuu wa mikoa wakijua ikitokea kufukuzwa wanafukuzwa wote, ni Aina mpya ya kutoheshimu boss wako mnafukuzwa wote itashusha heshima kwa viongozi wengi, watu wa chini watawafanyia visa wakijua kama ni kufukuzwa wanafukuzwa wote, hakuna utawala bora mbele ya Mdogo kumdharau mkubwa kisha mbafukuzwa wote, huo ni udhalilishaji kwa mkubwa kwani Mdogo sasa anajua akifanya ukaidi mkubwa anafukuzwa, ni vigumu Taifa kupata maendeleo endapo CCM wameanza kuendekeza ujinga huo mpya,ipo siku polepole atamdharau katibu mkuu kisha wataondolewa wote badala ya kuangalia chanzo wala yule aliyeleta Dharau , ebu mkuu wa wilaya mkurugenzi mdharau Naibu Rais ndugu Daud Bashite tuone kama mtatumbuliwa wote?
Kijana mbona una panic? Ugetupatia kwanza story ya Gambo (DC enzi hizo) na Ntibenda kijiko (RC enzi hizo) kabla ya povu hili.
 
Aliyetoa ndie ametwaa!!

Anae lala na mama yako ndie baba yako

Hizi ni kanuni za kawaida kabisa wala hazihitaji mjadala
Mi nimeelewa tofauti kidogo...

Mwanaume akipata matatizo, mchepuko unaumia kuliko mke...

Nadhani na wewe utakuwa umemuelewa mleta mada sasa...
 
Gambo unakuja kujipigia debe kivingine?
Kiburi sio maungwana, ulijifanya kumuiga mtoto wa dalisalamu bila kujua kwa nini analindwa na baba Ona sasa! Yule hata akinyea mbeleko hashushwi mgongoni, ana makubwa afanyayo tunayajua sisi tuu wakubwa.
Sio vibaya ukidokeza kidogo.
 
“aliwa yuala, ala aliwa”

Kama walikuwa na migogoro walitakiwa wajue it’s not in their interest kuendelea nayo maana referee anaweza fyeka pande zote mbili.

Hila mtu kama Gambo ni kama alijitakia ukijumlisha na jina lake kujitokeza mara kwa mara kwenye siasa za ubunge kitu ambacho CCM ya Magu kama vile aipendi watu wenye nafasi kutaka kuwepo kila sehemu.
 
Back
Top Bottom