Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Ww kama nan?tuanzie hapo kwanza,hujui kama mm cpangiw
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa.
Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka.
CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
 
kama alikua haheshimiwi na walio chini yake atakua alipoteza uhalali
 
Gambo ni snitch ,halafu anadharau wenzake,mbona kabla ya yeye kufika arusha hakukuwa na mgogoro,hata huko alikotoka aliwavuruga hivo hivo ,alimsnitch mkuu wa wilaya arumeru na kuhamishwa as if yeye ni msafi,video mbona zipo youtube akiwa site akitembea na makamera aonekane ana chapa kazi.

Hata uwe boss kama unawadharau na huwaheshimu wenzako wa chini unawagombeza kama watoto ipo siku watajiunga kwa unyonge wao wakitoe.
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa.
Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka.
CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.

Wewe unaitwaje na boss wako halafu unakwenda ukiwa umemvalia kapello kihuni huni...!?
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa.
Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka.
CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.

Utakuwa wa kanda ya Ziw! Itakuwaje wao walionywa na Mkuu wa nchi waache kugombana wakaendelea?
 
Kwa level ya jiji au manispaa hutumia MD (Municipal/Managing Director), DED inaishia district level. Kwa halmashauri ya mji hutumia TED (township executive director) japokuwa ukiita DED inaeleweka zaidi mahala pengi
Tawile mjomba iddi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naanza kuamini nchi hii imejaa vidikteta. Yaani kama tunadhani ni rahisi kukomesha udikteta nchi hii tunajidanganya. Kuna watu udikteta unawafaidisha hadi wako tayari kufanya lolote kuutetea. Kwa taarifa yako;
1.Kuwa mkuu wa mkoa hakumaanishi wewe ni mwamuzi wa mwisho kwa kila kitu ndani ya mkoa. Mfano, Mkuu wa mkoa hana maamuzi juu ya mgonjwa achomwe sindano au apewe vidonge. Vivyo hivyo hana maamuzi ya mwisho ya kubadilisha ramani ya jengo la serikali kwa sababu ya matakwa binafsi, hapo akijitokeza mtu akagoma kubadilisha ramani na akatoa sababu za kitaalamu mtaona anadharauliwa lakini mtaalamu atakuwa sahihi.
2.Kila mtumishi kwenye nafasi yake ana mamlaka kamili. DED ana mamlaka kamili katika nafasi yake mfano, matumizi ya fedha za Halmashauri yaliyopitishwa na Baraza la Madiwani hayawezi kutenguliwa kiboya na Mkuu wa mkoa kisa tu yeye ni msemaji wa mwisho mkoani kwake.
3.Mkuu wa mkoa ana maamuzi kamili katika nafasi yake kwa kufuata Job description ya nafasi yake lakini maamuzi yake yapaswa kufuata ushauri bora wa wataalamu alionao na siyo matakwa binafsi. Ndo maana unaona Wakuu wa mikoa wenye kujua mipaka yao huoni wakigombana na wataalamu wao. Hata wanapochukua hatua husikii mtu alisema Mkuu wa mkoa kamwonea mtu.
4.Kuna msemo siku hizi vijana wanasema "SIMAMA KWENYE JINSIA YAKO". Mkuu wa mkoa anayejitambua anatakiwa kujua mipaka ya madaraka yake. Lakini ukikuta mkuu wa mkoa anataka kukagua ghala la silaha za Polisi au kuamuru mtuhumiwa fulani aachiwe kwa vile tu yeye ni Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama (KUU) mkoa, ujue huyo ni Bomu na muda wowote atalipua mkoa.
5.Mkuu wa mkoa au mkuu yeyote wa Idara hana hiari ya kudharau wa chini yake na kuwadhalilisha hadharani kwa vile tu yeye ni Mkuu. Kuheshimu walio chini yake ni miongoni mwa masharti ya uteuzi wake. Asipofanya hivyo sheria ya Mahusiano kazini inamtaka aidha ajiondoe au aondolewe.
6.Mkuu wa mkoa hapaswi kuwa mtu wa majungu na kufanyia kazi taarifa za kuokoteza. Ukiwa mkubwa kazini fanya maamuzi ambayo kila anayeona ajue una taarifa sahihi, majungu na umbea isiwe sehemu ya maamuzi yako kama Mkuu.

Kwa hayo hapo juu, Gambo kutumbuliwa pamoja na DED na DC Arusha ni kumheshimu tu, lakini alitakiwa aondoke peke yake ili liwe fundisho kwa wakuu wa mikoa na wilaya wanaofanya kazi kinyume cha miongozo ya nafasi zao.

Umeshanifilisi nilichotaka kuchangia mkuu...ubarikiwe
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa.
Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka.
CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Mkuu kama unaongelea tofauti zao kikazi hapo ilitakiwa kanuni zitumike kumaliza kiofisi zaidi. Pia katika suala la uteuzi ni mkuu wa nchi(RAISI) ndo mwenye mamlaka ya kufanya hivyo kikatiba pia kulingana na utashi wake kama kiongozi pia ana mamlaka ya kutengua vivyo hivyo kulingana na katiba inavyo mruhusu.
 
Unapinga nini wewe! Mwenye mamlaka ya kuteua ndio anamamlaka ya kukutengua,wewe unapinga nini au ulikua mnufaika wa ukuu wa Mkoa wake mrija umekatwa eeh. The president has just exercise his power legally. Any way pole
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa.
Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka.
CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Gambo unakuja kujipigia debe kivingine?
Kiburi sio maungwana, ulijifanya kumuiga mtoto wa dalisalamu bila kujua kwa nini analindwa na baba Ona sasa! Yule hata akinyea mbeleko hashushwi mgongoni, ana makubwa afanyayo tunayajua sisi tuu wakubwa.
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa.
Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka.
CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Ukuu wa Mkoa siyo ajira ni dhamana. Kuondolewa kwenye nafasi hiyo haiwezi kuwa ni uonevu kwa sababu aliyekuteua hujui sababu zilizokufanya akuteue, vivyo hivyo, siyo lazima kuwa na sababu ya kukuondoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa.
Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka.
CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.
Haya maamuzi sio sahihi.
Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
Angalia clip hii itakufungua macho
 
Back
Top Bottom