Napinga LATRA kuwafungia KATARAMA kwa visingizio cha kuchezea kidhibiti mwendo

Ewaaaaaa hapo sawa, vile vidubwana viko chini ya LATRA na sio mmiliki wa Kampuni. Shabiby sidhani kama ana bus hata Moja alilofunga au ambalo linafanya KAZI! Ukiacha lile linalotembea kwa mwendo wa kinyonga
Kila aliyepanda Shabiby ni shahidi wa Uendeshaji wa kiungwana au umewahi sikia analalamikiwa? The same to ABC etc
 
Ni fitna tu za kibiashara,kule latra kuna ombwe kubwa sana,kama mnakumbuka majuzi kwenye wiki ya nenda kwa usalama kwenye maadhimisho pale dodoma alikuwepo Happy nation kama balozi wa usalama..
Na hata Latra walipotoa zile tuzo zao zao Katarama na Allys hawakupewa...tunajua kuna wakubwa wanakula ten percent ni michina,kina Yutong na wenzake..na sio hivyo tu,wengi pia wana gari zao pia..
Hivi mnajua kama Happy nation ndio Main agent wa Higer Tanzania kwa mabus? Ujio wa Scania za Katarama ni kama unawanyima usingizi.
 
Ewaaaaaa hapo sawa, vile vidubwana viko chini ya LATRA na sio mmiliki wa Kampuni. Shabiby sidhani kama ana bus hata Moja alilofunga au ambalo linafanya KAZI! Ukiacha lile linalotembea kwa mwendo wa kinyonga
Ila hakuna cartel kubwa kama Abood. Huyu jamaa anaheshimika na ana influence kubwa sana.
 
USANIII WAENDE FB

WANGALIE JINA

NABASI YA KANDA YA KUSINI

WAONE WANAVYOKIMBIZANA

AIBUSANA NA HAWANA K.MWENDO
 
Hao wanatumiwa na washindani wa Katarama nahisi,

Ni wapuuzi kabisa,Katarama awaburuze mahakamani hao
 
watendaji wa serikali hawaaminiki, takukuru wapite huko waangalie hayo maamuzi yao...miamala ya bank na kwenye simu ama bahasha hawajapokea kutokea makampuni shindani kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…