Hizo ambazo watu wanakufa kila siku mbona hatusikii hatua ? na Katarama huwa anashindana na Allys kama Katarama ame temper VTS huyo Allys si ndo atakua hana kabisaUnataka kusikia watu wamekufa ndio hatua ichukuliwe kaka.
Umeangalia video waliyopost LATRA kupitia mitandao yao ya kijamii na ukaelewa kama bado tazama hapa utaelewa vizuri...Ni fitna tu za kibiashara,kule latra kuna ombwe kubwa sana,kama mnakumbuka majuzi kwenye wiki ya nenda kwa usalama kwenye maadhimisho pale dodoma alikuwepo Happy nation kama balozi wa usalama..
Na hata Latra walipotoa zile tuzo zao zao Katarama na Allys hawakupewa...tunajua kuna wakubwa wanakula ten percent ni michina,kina Yutong na wenzake..na sio hivyo tu,wengi pia wana gari zao pia..
Hivi mnajua kama Happy nation ndio Main agent wa Higer Tanzania kwa mabus? Ujio wa Scania za Katarama ni kama unawanyima usingizi.
Umeangalia video waliyopost LATRA kupitia mitandao yao ya kijamii na ukaelewa kama bado tazama hapa utaelewa vizuri...Ni fitna tu za kibiashara,kule latra kuna ombwe kubwa sana,kama mnakumbuka majuzi kwenye wiki ya nenda kwa usalama kwenye maadhimisho pale dodoma alikuwepo Happy nation kama balozi wa usalama..
Na hata Latra walipotoa zile tuzo zao zao Katarama na Allys hawakupewa...tunajua kuna wakubwa wanakula ten percent ni michina,kina Yutong na wenzake..na sio hivyo tu,wengi pia wana gari zao pia..
Hivi mnajua kama Happy nation ndio Main agent wa Higer Tanzania kwa mabus? Ujio wa Scania za Katarama ni kama unawanyima usingizi.
Ewaaaaaa a very good and professional reply! Maana wote wanafika muda huo huo! Haiwezekani mmoja akimbie na mwingine asikimbie na wote kila siku wafike pamoja au mmoja ambaye hajafungiwa amzidi mwenzieHizo ambazo watu wanakufa kila siku mbona hatusikii hatua ? na Katarama huwa anashindana na Allys kama Katarama ame temper VTS huyo Allys si ndo atakua hana kabisa
Mbona huo ukaguzi usifanyike kwa mabasi mengine pia? Kama kuna observation nzuri kiasi hicho, why tusikague mabasi mengine ambayo pia Yana mwendo huo huo?Umeangalia video waliyopost LATRA kupitia mitandao yao ya kijamii na ukaelewa kama bado tazama hapa utaelewa vizuri...
👇👇👇👇👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/C_05Cr0tILv/?igsh=MW10dWlsbnI0YXhv
Umeangalia video waliyopost LATRA kupitia mitandao yao ya kijamii kama bado tazama hapa👇
View: https://www.instagram.com/reel/C_05Cr0tILv/?igsh=MW10dWlsbnI0YXhvutaelewa vizuri...
Umejenga hoja vizuri sana! I am so surprised na hawa Jamaa, kifaa amekifunga yeye, anakisimamia yeye, sasa hivi ananilaumu Mimi!!Naona umekuja na zile ID almaarufu za msaada: "joined 2020, posts 12 na reaction score 5.
Hata hivyo isiwe kesi.
Hapa mnaongelea chipsets na software ya vifaa vyenu vis a vis operator asiyekuwa na ujuzi wowote na vifaa vyenu.
Tumeona wangapu wakibambikiziwa bangi, madawa, nyara za serikali, bunduki, risasi nk, sembuse hili?
Kumbe kipi kibongo bongo kinaisimamisha mamlaka ipi kuto hujumu biashara ya mtu panapo nafasi?
Tumesikia hata watu kuporwa uhai na mamlaka zetu hizi hizi.
Kwani kama nia ilikuwa ni njema kuzuia magari yasiende zaidi ya 80km/h, kumbe kwanini yasiagizwe magari yenye maximum speed 80km/h?
Au kwanini latra msiwe na magari ya mfano tuone mtakavyoyaendesha Kwa mfano?
Kulikoni kuweka vifaa vyenu Kwa watu kisha kuwalaumu wao?
Hudhani hili la kuweka vifaa vyenu kwenye maeneo ya wengine kunaacha mianya ya kutwishana mizigo isiyokuwa na uhalali wowote?
Mnamlaumu vipi mtu kwenye vifaa vyenu ambavyo mwenye bus hana ujuzi navyo kwa lolote?
Ninakazia: na lawyer mzuri kulikuwa na mabilioni kwenye fidia hapa!
Umeelewa lakini sababu zilizotolewa na Latra.au unaandika mihemko.Kupata ajali na kuchezea mfumo ni kitu tofauti.Ata kuover speed ni tofauti na kuchezea mfumo.Waliopata Ajali Hadi kuua hawajafungiwa akina Ally's......ila huyu ambaye ana madereva watatu kwa kila bus na Hana Ajali ndio kafungiwa leseni
Umejenga hoja vizuri sana! I am so surprised na hawa Jamaa, kifaa amekifunga yeye, anakisimamia yeye, sasa hivi ananilaumu Mimi!!
Kwanza mmiliki anajuaje Aina ya kifaa kilichofungwa? Alionyeshwa? Alipewa specs na akasaini ? If not, unawezaje kusema kuwa kabadilisha? What if Watu wao LATRA ndio wamekifunga ili kumharibia biashara? Hii kesi haihitaji LAWYER inahitaji Tu Mpare mmoja kama Mimi niende hapo
Nikisikiaga hii Kauli, nachoka Kabisa...!najua hapa Kombe lishafunikwa...!Hili nalo mkalitazame
Umeelewa lakini sababu zilizotolewa na Latra.au unaandika mihemko.Kupata ajali na kuchezea mfumo ni kitu tofauti.Ata kuover speed ni tofauti na kuchezea mfumo.
Hivi kuna basi zinamwaga moto kama super feo?aise zile scania zinakimbia balaa.
Hata juzi tu hapa ALLY'S VVIP Dar Mwanza imetumia masaa machache sana. Kwa speed hii siwezi kupingana na wewe lakini kwanini wamfanyie hivo Katarama. LATRA tunaomba muwafungulie Katarama hataka kama ni kimya kimya ila hizo mlizowafanyia ni hujuma tu. Na inatengeneza monopoly kwenye biashara. Mambo ya gari za Abood, Dar-MorogoroKufungiwa Karatama ni fitina za kibongo. Nakumbuka wakati Katarama linaaza safari zake, nilikuwa natoka Mwanza kuja Dar wakati tumefika Buhongwa kuna jiwe lilitupiwa kwenye basi upande wa mbele wa kushoto wa abairia kioo kikapasuka(abiria wakasema hizi ni hujuma) baada ya siku kadhaa nikasikia Latra wanataka kulifungia. Kuna mabasi nimewahi kupanda mfano; Ally's VVIP Ile basi ilikuwa inatembea mwendo wa 120-140 km/hr; Tahmeed nikiwa natokea Kenya--> Dar yule dereva alikuwa hashuki 130 km/hr. Hapo Ally's kaona ligi imekuwa ngumu
LATRA wametoa taarifa kwa umma kuhusu kufungia leseni ya usafirishaji Abiria ya Kampuni ya KATARAMA kwa kigezo kuwa wanachezea vidhibiti mwendo. Sina tatizo na hilo.
Ila kama ni kweli basi, naomba wawe fair kwa makampuni mengine pia, nilidhani Abood ya Bukoba na Mwanza wangekuepo, nilidhani Kampuni ya Baraka inayoenda kusini wangekuepo kwenye list. Ukweli ni kwamba, karibia mabasi yote (90%) wanachezea vidhibiti mwendo. Mimi ni mdau WA Safari na Road Safety issues.
Usiku wa Leo, au hata jioni hii lipia route yoyote ile, fanya observation yako kama ABC au Superfeo wanatembea speed 80km/HR angalia kama BM anatembea hio speed , sijamtaja Tilisho wala KSK....wala Buti la Zungu au Njombe Express.......hakuna anatembea huo mwendo. Wachunguze mabasi ya Kigoma ukiacha Kasulu express (mbovu) wengine wote ni Moto mwanzo mwisho. Mbona ALLY'S hayupo Kwenye list??
Nashauri LATRA wa-revise hio speed 80, it is unrealistic no matter what!
Pili, ni uchawi kufungia Kampuni wakati ni individuals, wafungiwe madereva maana owner sio anaye monitor speed ya gari.
View attachment 3094139
Tutamkumbuka Sheikh YahayaNikisikiaga hii Kauli, nachoka Kabisa...!najua hapa Kombe lishafunikwa...!
Dah ..! Toka mwanzo niliwahi kusema kuhusu huyu Bi. Mkubwa....!
Mungu atusaidie.
Ngoma inatoka Mwanza anaitafuta Songea hahahahahahahHivi kuna basi zinamwaga moto kama super feo?aise zile scania zinakimbia balaa.
KATARAMA kila bus Lina madereva watatu, Hana ajali, Abood kila siku anawaingiza Watu vichakani Huko ila walaaaaaSikubaliani na uvunjwaji wa sheria, ILA kuna harufu nainusa hapa. Wenye historia na ma ajali mbona hawafungiwi?
KATARAMA kila bus Lina madereva watatu, Hana ajali, Abood kila siku anawaingiza Watu vichakani Huko ila walaaaaa