Napinga Luka Modric kupewa BALLON D'OR

Kama ndio hvy zidane asingepaswa kuwa na ballon dor 3 ..kwa vigezo hivyo zidane ilipaswa awe na ballon dor moja tu

Kingine midfielders sio strikers hivyo huwezi kutoa kigezo cha magoli tu kwenye ballon dor basi iitwe strikers ballon dor maana defenders na midfielders itakuwa hawajatendewa haki


Kingine Modric alikuwa na perfomance bora uefa champions league na world cup pia alikuwa exceptional mpk kila mtu alisuuzika moyo wake baada ya kupewa tuzo ya mchezaji bora wa dunia

Na la mwisho wanaopiga kura ni makocha na makapteni wa timu za taifa na waandishi wa habari za michezo na kwa pamoja wameona Modric ndiye aliyestahili

Nimefurahi kuona tuzo ikirudi kwa midfielder hii tuzo haijaumbiwa kwa masteikers tu ..hongera Luca modric
 
Poa

Ukimaliza kupinga Rudi bongo.... Kuna nafasi za wazi za pinga-pinga

Wewe tu na muda wako
 
Je, unaweza kunielewesha vigezo wanavyotumia kumpata mshindi?

Pia Kama Luca modric Hana vigezo, wewe unadhani ni Nani alikuwa na vigezo vya kumuwezesha kutwaa tuzo hio?
 
Nadhani Mleta Hoja Sio Mtu wa Mtu WS Mpira
 
Wewe naona unamletea uchochezi Wambura baada ya kushinda kesi na kuahidi kukitifua tff leo wakati wao "watu wa mpira" hawamtaki.
 
ukweli mi sioni kama alifaa kushnda maana kama ni kuifikisha croatia final wc ata varane alifikisha france, kama ni kuisaidia madrid kuchukua UCL ata varane,ronaldo wameifikisha madrid ,sasa ukija kwenye perfomance ya mchezaj mmojammoja +magoli,asisst ndo utajua kama alibebwa tu kutaka kuhuondoa ufalme wa LM10 na CR7
sasa subil mwakani kama ata top 5 atakuwemo
 
Mbona alikuwa best player wa michuano ya world cup na Uefa?

Midfielders huwezi kushindanisha na strikers kwa magoli unafeli joh

Zidane alikuwa best player tena amechukua ballon dor 3 mionyeshe lini aliwahi kuchukua kiatu cha ufunguaji bora..ilikuwa inafikia hatua Zizzou alikuwa anafikisha magoli 4 tu kwa msimu

Xavi,iniesta walikuwa hatari lkn angalia goal scoring rate yao ilikuwa ndogo mno

Modric kama kiungo kazi yake tuliiona world cup na uefa

Hii tuzo haijatengenezwa kwaajili ya maforwad tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…