junky
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 413
- 978
Kama ndio hvy zidane asingepaswa kuwa na ballon dor 3 ..kwa vigezo hivyo zidane ilipaswa awe na ballon dor moja tuKituko cha kuaga MwakaView attachment 955151
Kingine midfielders sio strikers hivyo huwezi kutoa kigezo cha magoli tu kwenye ballon dor basi iitwe strikers ballon dor maana defenders na midfielders itakuwa hawajatendewa haki
Kingine Modric alikuwa na perfomance bora uefa champions league na world cup pia alikuwa exceptional mpk kila mtu alisuuzika moyo wake baada ya kupewa tuzo ya mchezaji bora wa dunia
Na la mwisho wanaopiga kura ni makocha na makapteni wa timu za taifa na waandishi wa habari za michezo na kwa pamoja wameona Modric ndiye aliyestahili
Nimefurahi kuona tuzo ikirudi kwa midfielder hii tuzo haijaumbiwa kwa masteikers tu ..hongera Luca modric