Napinga Luka Modric kupewa BALLON D'OR


well bro
 
BORA ASIPATE C.RONALDO, MSHENZI ANA MISIFA YA KIFALA SANA😎😎😎😎
 
Hizi tuzo kwangu niliziona hazina thamani, baada ya Wensley Sneijder, Xavi na Inesta kutochukua tuzo paka wanastafu japokuwa walistahili, ila kwa Modric naweza kusema haki imetendeka, Modric ana stahili. Tuache ule upuuzi wa kuamini mchezaji bora ni yule anayefunga tu.
 
Mkuu naona wengi mnaongozwa na ushabiki.... Hivi utalinganisha ubora wa kikosi cha France na Croatia... Tuwe wakweli tu Modric aliibeba timu nzima kwa mikono yake miwili tofauti na France ambapo hata Varane angekaa benchi kuna quality nyingi tu benchi zingeziba pengo ila croatia ilikuwa na kikosi kifupi sana cha world class players hivyo usilinganishe struggle ya Croatia na France hata siku moja.

Kingine magoli na Assist sio kazi ya Defending midfielder otherwise Balloon D'or iwe kwa ajili ya washambuliaji hivyo ukitaka kujudge midfielders angalia vitu kama Completed passes,interceptions,anticipations,Agility,Agressiveness,tackles won,Balls recovered,distance covered, Aerial duels vitu ambavyo huyo Ronaldo au Messi hawamkuti kabisa same case ukimlinganisha varane vs messi na ronaldo unaangalia mchango wake kwenye traits za defence sio eti Assist na magoli labda kama haufahamu soka mmekariri mchezaji bora ni striker.

Kwa hizo quality nilizoweka hapo unaweza niambia ipi ambayo messi na ronaldo wanamzidi modric??? Angalau moja tu kama hamna nipe sababu kwanini Modric asipewe Ballon D'or ilihali hakuna walichomzidi hao wengine.

Hii ni stats zake kabla ya final.... Alafu unamlinganisha na varane cjui messi kwenye mchango wao timu ya taifa???

 
Congratulation to the best midfielder in the World, Luca Modric for winning Ballon D'Or.
Wanaosema ana uwezo mdogo hawalifahamu kandanda kwa upeo.
 

Hivi ili ubebe timu lazima ufunge magoli na uassist? dah Generation ya technology kwenye ubora wake. Kwaiyo kipa hawezi beba timu? Beki au midfield?
 

Hivi nyie vilaza wa wapi? Je pia mnapinga Luka kuwa mchezaji Bora ndani ya world cup? au pia mlitaka wapewe Messi na Ronaldo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…