Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Huyo mbona sura yake kama ya kocha na sio mchezaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mbona sura yake kama ya kocha na sio mchezaji?
Mbona alikuwa best player wa michuano ya world cup na Uefa?
Midfielders huwezi kushindanisha na strikers kwa magoli unafeli joh
Zidane alikuwa best player tena amechukua ballon dor 3 mionyeshe lini aliwahi kuchukua kiatu cha ufunguaji bora..ilikuwa inafikia hatua Zizzou alikuwa anafikisha magoli 4 tu kwa msimu
Xavi,iniesta walikuwa hatari lkn angalia goal scoring rate yao ilikuwa ndogo mno
Modric kama kiungo kazi yake tuliiona world cup na uefa
Hii tuzo haijatengenezwa kwaajili ya maforwad tu
BORA ASIPATE C.RONALDO, MSHENZI ANA MISIFA YA KIFALA SANA😎😎😎😎Hana vigezo vya kutwaa tuzo hiyo na wala hakuwahi kuwa navyo , ifike mahali dunia ya michezo isione aibu kuwapa tuzo wachezaji wanaostahili hata kama ni walewale kwa miaka 20 .
Usishindane na aliyejaaliwa .
Nakala kwa Michael Wambura , Makamu wa Rais wa TFF
lakini mpira si anaujua mkuu ?BORA HAKUPATA RONALDO, MSHENZI ANA MISIFA YA KIFALA SANA😎😎😎😎
KILa mchezaji anajua mpira,lakini mpira si anaujua mkuu ?
Mkuu naona wengi mnaongozwa na ushabiki.... Hivi utalinganisha ubora wa kikosi cha France na Croatia... Tuwe wakweli tu Modric aliibeba timu nzima kwa mikono yake miwili tofauti na France ambapo hata Varane angekaa benchi kuna quality nyingi tu benchi zingeziba pengo ila croatia ilikuwa na kikosi kifupi sana cha world class players hivyo usilinganishe struggle ya Croatia na France hata siku moja.ukweli mi sioni kama alifaa kushnda maana kama ni kuifikisha croatia final wc ata varane alifikisha france, kama ni kuisaidia madrid kuchukua UCL ata varane,ronaldo wameifikisha madrid ,sasa ukija kwenye perfomance ya mchezaj mmojammoja +magoli,asisst ndo utajua kama alibebwa tu kutaka kuhuondoa ufalme wa LM10 na CR7
sasa subil mwakani kama ata top 5 atakuwemo
Sijasema ni mchezaji mbaya la hasha , lakini hana uwezo wa kuchukua tuzo hiyo hata kama mtunga vigezo angekuwa mama yake mzazi .
Kituko cha kuaga MwakaView attachment 955151
ukweli mi sioni kama alifaa kushnda maana kama ni kuifikisha croatia final wc ata varane alifikisha france, kama ni kuisaidia madrid kuchukua UCL ata varane,ronaldo wameifikisha madrid ,sasa ukija kwenye perfomance ya mchezaj mmojammoja +magoli,asisst ndo utajua kama alibebwa tu kutaka kuhuondoa ufalme wa LM10 na CR7
sasa subil mwakani kama ata top 5 atakuwemo
Hana vigezo vya kutwaa tuzo hiyo na wala hakuwahi kuwa navyo , ifike mahali dunia ya michezo isione aibu kuwapa tuzo wachezaji wanaostahili hata kama ni walewale kwa miaka 20 .
Usishindane na aliyejaaliwa .
Nakala kwa Michael Wambura , Makamu wa Rais wa TFF
Kituko cha kuaga MwakaView attachment 955151