Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Ni kweli kwamba mtu akihama Chama hawezi tena kukisifu Chama alichotoka ama sivyo ataulizwa kwanini alikihama.
Lakini haiwezekani Msigwa azunguke nchi nzima aanze kusema,"Mbowe ni mnafiki,Chadema hawafai"
Yeye amahama Chadema, mambo ya Chadema sasa hayamhusu tena.
Waachane kwa amani na Chadema kwa amani. Isiwe kwamba sharti lake la kupokelewa CCM ni kuitukana Chadema.
Hata Lowassa alihamia Chadema hatukumsikia anaikashifu CCM.
Pia soma