Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Arteta ni kocha wa hovyo kuwahi kutokea kwenye uso wa Dunia
 
Arteta ni kocha wa hovyo kuwahi kutokea kwenye uso wa Dunia
Ukisema hamna kocha. Vipi kikosi chake kina thamani gani hadi umlinganishe na matokeo anYopata Gardiola au Klopp
 
Kwann hukupinga Msigwa kupewa nafas ya kuwa mbunge ndan ya Chadema na Sasa kuwa mwenyekit wa kanda ya kussini?

Acha upigaji ramli

Arsenal ikifungwa unafufua uzi uonekane upo sahihi, Arteta akifanya vzr unakauka kimya
 
Back
Top Bottom