Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Mkund ukinjamba huanza kupea nyeti pole kwa harufu mbovu ya Mavi.
 
Mwaka huu Carabao na FA vimeshampita kushoto. Anachoweza ni kukomalia epl pamoja na Champion league, hivyo vipo kwenye uwezo wake akivikomalia vizuri.
Huku uswahilini tunasema hivi, Kama kibaba hakikujaa ndoo haiwezi kujaa, Yaani ushindwe carabao upate Champions league!
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ huu mzoga unafukuliwa kila msimu ๐Ÿคฃ
 
Arteta Mitano Tena

Tumepigwa pale ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Back
Top Bottom