Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Mkund ukinjamba huanza kupea nyeti pole kwa harufu mbovu ya Mavi.
 
Mwaka huu Carabao na FA vimeshampita kushoto. Anachoweza ni kukomalia epl pamoja na Champion league, hivyo vipo kwenye uwezo wake akivikomalia vizuri.
Huku uswahilini tunasema hivi, Kama kibaba hakikujaa ndoo haiwezi kujaa, Yaani ushindwe carabao upate Champions league!
 
🀣🀣🀣🀣 huu mzoga unafukuliwa kila msimu 🀣
 
Wasipotimua huyu kocha nitawashangaa sana!
 
Arteta Mitano Tena

Tumepigwa pale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜­πŸ˜­
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…