Napinga Mikel Arteta kupewa mikoba ya Wenger sababu hana uwezo

Huu Uzi ataomba ufutwe kwa aibu
 
Kumbe na hii ulipinga tena Mkuu!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujifunze kuwa na akiba ya maneno ,ona huyu mleta mada anavyodhalilika kifala[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Arteta atawashangaza nyie 'haters'.
Arsenal ya Arteta haiwezi kuishinda timu yoyote ya top 4 , mlipigwa na chelsea 3 ? mkatandikwa na Man City 5 , mmechapwa na Liverpool 4 na hapa kipa wenu alipunguza bao 5 , huwezi kuwa bingwa kwa kuchapwa na timu zilizo juu yako huku wewe ukibahatisha ushindi kwa akina Norwich
 
huna akili wewe baki kwenye siasa umpiganie gaidi mbowe, timu ndogo ni nying kuliko hizo 3, ni lipi bora upoteze mech zote za big 6, nq ushinde zote ndogo...wewe mpirq hujui, liverpool alikuwa anashinda big mech, halafu anapigwa hadi bao 6 na west brom, crystal palce nyumbani kwake, akawa hata europa haend,
 
Msiwe mnajifungulia uzi hovyo, ona unaumbuka sasa, Na sisi tutakukumbusha kadri tuwezavyo.
 
Football is like wind, sometime unatoka East kwenda West, next time unatoka West kwenda East, hivyo ni ngumu sana kutabiri matukio kwenye mpira yakabaki the same whole season.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] imebidi nicheke tu
 
Cha msingi asishuke daraja tu, tuko tunajenga kikosi ndy maana tunasajiri akinsa lukonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…