Napinga Rais kuhudhuria Sherehe ya Simba

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,845
Reaction score
13,072
Naona kabisa gang imeona imeporomoka ndani ya miezi miwili mfululizo na hili ni kutokana na kashfa ya bandari, sasa wameona sehemu ya kuja kutafuta umarufu wake ulioporomoka ni kulazimisha kuhudhuria Sherehe ya Simba ili kumsafisha na kashfa zinazomkabili za kuingia mkataba wa hovyo wa kubinafsisha bandari kwa Waarabu wa DP World.

Ukijaribu kucheki kwa jicho la tatu ni dhahiri shahiri kuwa hii amelazimisha kujialika ili wananchi kupitia vilabu vyao vya Simba na Yanga wamuone mwema na mpenda mpira kumbe siyo kweli, anakuja kujisafisha na kujipendekeza kwa wananchi kupitia Wanasimba.

Wanasimba natoa rai, pindi akiingia uwanjani tokeni wote nje ili kuonesha kuwa mnakasirishwa na jinsi anavyoendesha serekali na kudhoofisha uchumi na vitendo vya kiufisadi kuendelea kushamiri katika taifa hili.

Mimi sijawahi kudhani kama Rais huyu atakuja kunivuruga akili yangu. Kila nikisikia anaongea nazima redio au television nisimsikie kabisa. Nimechukizwa na jinsi anavyowakumbatia mafisadi na kudhoofisha uchumi
 
Pale mtazamo wako finyu unapotaka watu wote tuufuate!!!!!!!!!!!!!!!! Huna hoja ya msingi zaidi ya kuendeshwa na chuki, hasira, papara, mhemko, hisia, hasadi, mazonge, roho mbaya n.k!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Afya ya akili ni tatizo!!!!!!!!!!!!
 
mimi mwenyewe nilivyosikia amealikwa sikupenda

pia hata mimi nikimsikia kwenye radio na tv nazima ili nisimsikie toka saga la DP

Lakini ninachopingana na wewe ni kusema Rais amejialika NAKATAA KABISA

Simba yetu ndio imemualika kwa hiyo ni utafutaji misifa wa viongozi wa timu yetu
 
Naona kabisa gang imeona imeporomoka ndani ya miezi miwili mfululizo na hili ni kutokana na kashfa ya bandari, sasa wameona sehemu ya kuja kutafuta umarufu wake ulioporomoka ni kulazimisha kuhudhuria Sherehe ya Simba ili kumsafisha na kashfa zinazomkabili za kuingia mkataba wa hovyo wa kubinafsisha bandari kwa Waarabu wa DP World.

Ukijaribu kucheki kwa jicho la tatu ni dhahiri shahiri kuwa hii amelazimisha kujialika ili wananchi kupitia vilabu vyao vya Simba na Yanga wamuone mwema na mpenda mpira kumbe siyo kweli, anakuja kujisafisha na kujipendekeza kwa wananchi kupitia Wanasimba.

Wanasimba natoa rai, pindi akiingia uwanjani tokeni wote nje ili kuonesha kuwa mnakasirishwa na jinsi anavyoendesha serekali na kudhoofisha uchumi na vitendo vya kiufisadi kuendelea kushamiri katika taifa hili.

Mimi sijawahi kudhani kama Rais huyu atakuja kunivuruga akili yangu. Kila nikisikia anaongea nazima redio au television nisimsikie kabisa. Nimechukizwa na jinsi anavyowakumbatia mafisadi na kudhoofisha uchumi
Mimi sijawahi kudhani kama Rais huyu atakuja kunivuruga akili yangu. Kila nikisikia anaongea nazima redio au television nisimsikie kabisa. Nimechukizwa na jinsi anavyowakumbatia mafisadi na kudhoofisha uchumi
20230806_042726.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachuki Kali kweli, Nijuavyo, anakuja kwenye tamasha la simba SI kwa jambo Dogo la BANDARI, Bali kuubalansi umma wa watanzania.
 
Naona kabisa gang imeona imeporomoka ndani ya miezi miwili mfululizo na hili ni kutokana na kashfa ya bandari, sasa wameona sehemu ya kuja kutafuta umarufu wake ulioporomoka ni kulazimisha kuhudhuria Sherehe ya Simba ili kumsafisha na kashfa zinazomkabili za kuingia mkataba wa hovyo wa kubinafsisha bandari kwa Waarabu wa DP World.

Ukijaribu kucheki kwa jicho la tatu ni dhahiri shahiri kuwa hii amelazimisha kujialika ili wananchi kupitia vilabu vyao vya Simba na Yanga wamuone mwema na mpenda mpira kumbe siyo kweli, anakuja kujisafisha na kujipendekeza kwa wananchi kupitia Wanasimba.

Wanasimba natoa rai, pindi akiingia uwanjani tokeni wote nje ili kuonesha kuwa mnakasirishwa na jinsi anavyoendesha serekali na kudhoofisha uchumi na vitendo vya kiufisadi kuendelea kushamiri katika taifa hili.

Mimi sijawahi kudhani kama Rais huyu atakuja kunivuruga akili yangu. Kila nikisikia anaongea nazima redio au television nisimsikie kabisa. Nimechukizwa na jinsi anavyowakumbatia mafisadi na kudhoofisha uchumi
Simba ndio inatafuta umaarufu kupitia rais, we kumbe ni zuzu hivyo?
 
Mnafki mbwa we, huyu ni rais anayependwa na raia zaidi ya 95%. Yuko midomoni mwa watu muda wote. Ushahidi fuatlia taarifa za habari za TV zote, siyo wa vijiiini au wa mijini. Kila mara utasikia tunamshukuru mama yetu au tunaomba mama atusaidie ktk hili na anawasaidia. Sasa ngedere km wewe una impact gani, mpaka 2030 mtakuwa mmeshakufa kwa sonona
 
Mhhh!!
 
Mimi sijawahi kudhani kama Rais huyu atakuja kunivuruga akili yangu. Kila nikisikia anaongea nazima redio au television nisimsikie kabisa. Nimechukizwa na jinsi anavyowakumbatia mafisadi na kudhoofisha uchumiView attachment 2709699

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wanaomkwamisha. Ni rahisi kusema mama katika uongozi wake kauli hana. Ameufyata.... Hii nchi bila kuikabidhi kwa wapinzani tutakwisha.
 
Naona kabisa gang imeona imeporomoka ndani ya miezi miwili mfululizo na hili ni kutokana na kashfa ya bandari, sasa wameona sehemu ya kuja kutafuta umarufu wake ulioporomoka ni kulazimisha kuhudhuria Sherehe ya Simba ili kumsafisha na kashfa zinazomkabili za kuingia mkataba wa hovyo wa kubinafsisha bandari kwa Waarabu wa DP World.

Ukijaribu kucheki kwa jicho la tatu ni dhahiri shahiri kuwa hii amelazimisha kujialika ili wananchi kupitia vilabu vyao vya Simba na Yanga wamuone mwema na mpenda mpira kumbe siyo kweli, anakuja kujisafisha na kujipendekeza kwa wananchi kupitia Wanasimba.

Wanasimba natoa rai, pindi akiingia uwanjani tokeni wote nje ili kuonesha kuwa mnakasirishwa na jinsi anavyoendesha serekali na kudhoofisha uchumi na vitendo vya kiufisadi kuendelea kushamiri katika taifa hili.

Mimi sijawahi kudhani kama Rais huyu atakuja kunivuruga akili yangu. Kila nikisikia anaongea nazima redio au television nisimsikie kabisa. Nimechukizwa na jinsi anavyowakumbatia mafisadi na kudhoofisha uchumi
Wewe utapinga Hadi 2030 atakapotoka madarakani.
 
Back
Top Bottom