goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Naona kabisa gang imeona imeporomoka ndani ya miezi miwili mfululizo na hili ni kutokana na kashfa ya bandari, sasa wameona sehemu ya kuja kutafuta umarufu wake ulioporomoka ni kulazimisha kuhudhuria Sherehe ya Simba ili kumsafisha na kashfa zinazomkabili za kuingia mkataba wa hovyo wa kubinafsisha bandari kwa Waarabu wa DP World.
Ukijaribu kucheki kwa jicho la tatu ni dhahiri shahiri kuwa hii amelazimisha kujialika ili wananchi kupitia vilabu vyao vya Simba na Yanga wamuone mwema na mpenda mpira kumbe siyo kweli, anakuja kujisafisha na kujipendekeza kwa wananchi kupitia Wanasimba.
Wanasimba natoa rai, pindi akiingia uwanjani tokeni wote nje ili kuonesha kuwa mnakasirishwa na jinsi anavyoendesha serekali na kudhoofisha uchumi na vitendo vya kiufisadi kuendelea kushamiri katika taifa hili.
Mimi sijawahi kudhani kama Rais huyu atakuja kunivuruga akili yangu. Kila nikisikia anaongea nazima redio au television nisimsikie kabisa. Nimechukizwa na jinsi anavyowakumbatia mafisadi na kudhoofisha uchumi