Napinga Ramadhani Kailima kuteuliwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, ni Kada wa CCM

Hata Mbowe bado ni mwanachama wa CCM. Pia pinga Mbowe kuwa Mwenyekiti wa Saccos ya Chadema!
 
Kamba huvutiwa upande wako, huwezi kuivuta upande usio wako, chukua kamba ujaribu, hata Mbowe na yeye ana wachaga wengi hapo makao makuu, kama yule Mwenezi, John Mrema
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu, hata tulivyopinga mambo ya Jiwe mlikuja na kejeli hizi hizi
Wakati umefika kuwauliza mabaka mabaka, hivi haya hayawahusu? Maumivu ya wajomba na shangazi zao wanaona ni mziki wa bongo Flava? Yaani hizo free ration za mchele na cooking oil zinawafanya wanajisahau kiasi cha kuona ukweli?
Jee hakuna wenye fikra na maamuzi ya vijana kama Thomas Sankara au Jerry Rawlings wa wakati ule kule West Africa?

Tunajua hata kwetu walikuwepo kina Hans Poppe, McGhee, Kamando, Lt Maganga, Col Msami, na wengineo. Lakini hawakuleta mabadiliko waliyokusudia ila early 80 walisababisha displin ya aina fulani.

Hatusemi wafanye coup bali na wao waonyeshe wanakwazika na yanayo endelea, hizi yes sir yes sir watakuta familia zao zimesha kwa kifafaduro na kipindupindu kwa umasikini.

Au siku hizi wamekwisha wanaojitafakari huko waliko?
 
Kwenye maridhiano mnaridhiana nini ?
 
Usiwapangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…