Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Mkuu hivi macho yako unatumia kwa kuangalia mpira tu basi au? Huoni vingine?Jaribu kutumia ubongo wako. Hakuna kati ya hao anayeteuliwa na mwenyekiti wa ccm.
Onyesha barua moja ya uteuzi wa hao kama ipo iliyosainiwa na mwenyekiti wa ccm.
Halafu unamwambia mwingine atumie ubongo wake wakati wewe ubongo wako uko likizo?mbona hata wewe hujatumia ubongo wako?
Kwani Rais si ndie m/kiti wa CCM Taifa? na ndie tunaona huteua makada wa CCM tu kwenye kazi za serikali na Sasa ameweka KADA wa CCM hata kwenye tume ya uchaguzi, ambalo ni kosa Kisheria , mbona photo ya huyo Bw Ramadhani inasoma ni mwana CCM? Sasa atawezaje kutenda haki kuwapa ushindi chadema wakishinda?
Mkuu call a spade a spade hiyo ya Bw Ramadhani imebuma . M/kiti wa tume ya uchaguzi anapaswa kuwa neutral person kama Mimi sio KADA nguli kabisa Wa uvccm Bw Ramadhani!!
Ukweli uko wazi Mkuu huyo Hana sifa ya kupewa hiyo kazi na kamwe haki haitotendeka kupitia yeye ni lazima atakuwa Biased na kuipamba CCM yake Bora ningepewa Hilo rungu Mimi ningeuma na kupuliza ila kwa huyo Bw Ramadhani picha yake na Madilu Bwanga bin Tozo imemuumbua hamna haki hapo kwa KADA papa nyangumi!!
Mama amejinasibu kuwa mtenda haki basi ni Bora ateue mtu mwingine asie mwanachama wa chama chochote Cha siasa kushika uwenyekiti wa tume ya uchaguzi!