Ukimya uliopo CHADEMA kuhusu haya yanayoshuhudiwa wakati huu unanipa tafsiri moja katika ya hizi mbili:Nakuhakikishia kwamba Kailima hatofanya kazi NEC hadi anang'olewa
Kwamba wanaelewa kinachoendelea na wao wanajiandaa kimya kimya na mipango yao kuyakabili kwa wakati mahsusi; au kwamba wanayaona na hayawapendezi, lakini hawajui lipi la kufanya, kwa hiyo pengine ni bora kuyanyamazia na kuendelea na mipango ya ahadi zinazotokana na maridhiano.
Kama ni hilo la pili, historia ya nchi hii itawahukumu kuwa matapeli na wahujumu wa nchi ambao hawajawahi kutokea tokea nchi ipate uhuru wake.
Nisome vyema unielewe vizuri, na usije ukabadili sura huko mbele ya safari.