Napinga Ramadhani Kailima kuteuliwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, ni Kada wa CCM

Maridhiano hoyeee! Ndio maana watu wanasema Mbowe amelamba asali.

Mtu mwenye nia njema hawezi kumteua huyo jamaa kuwa mkurugenzi wa uchaguzi.
You've nailed!! Hakuna cha kitu inaitwa maridhiano.

Ilikuwa kutulizwa kwa huyo mwenyekiti kwa kupewa asali mbichi toka Unyamwezini[emoji1787][emoji1787]
 
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.

Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.

Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.

View attachment 2530740

Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?

Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?

Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
Kwa umri wake kuwa kada wa ccm ni kawaida sana, sifa anazo wacha apambane
 
Hakuna uteuzi ambao hateuliwi kada, ebu pambaneni mpate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sawa, hivi wa Tanzania tukoje hata kama kusoma shida, je hata picha hamuoni???
 
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.

Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.

Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.

View attachment 2530740

Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?

Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?

Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
Rais anafanya teuzi kwwa kufuata katiba na taratibu nyingine lakini pia anajua mambo mengi hasa wakati wa kufanya hizo teuzi kuliko sisi wananchi, hakuna mtu anayetaka kuona kazi yake inaharibika kwa hiyo sisi tuamini kuwa ni uteuzi wenye tija.
 
Unataka anayeteuliwa awe kada gani,

Maana kila mtu ana mrengo na anapenda chama awe kwa kuonyesha au kujificha but kila mtu ana chama anachokipenda,

Je asipofaa wa CCM, ateuliwe wa chama gani?
 
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.

Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.

Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.

View attachment 2530740

Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?

Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?

Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
Hata Mimi ningekuwa ccm,au mmoja wa wanaofaidika na kushika hatamu kwa ccm,ningekuwa naweka watu wakunihakikishia kutawala milele,huyu mtu atakuwa refa kati ya chama chske ccm na vyama vingine,
Hata kama Samia atapata kula 10!,na Mbowe akapata kula milioni,huyu mwamba akisema Samia kashinda,ndio imetoka hiyo,huwezi hata kwenda mahakamani,ccm wanajua kabisa haki bin haki,watatoka Ikulu,sasa je wapo tayari kuachia huu ulaji wa Bure wao na familia zao?
Warioba,Kikwete,Sumaye,Lowasa,Kinana,Mwinyi,Hawa wote ilibidi wawe jera,au wameishanyongwa,hakuna ambaye hajaiibia hii nchi.
Dawa ni kuanzisha vuguvugu,mass action,mpaka watoke kama ilivyotokea Kenya,KANU ikafurushwa ikulu
 
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.

Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.

Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.

View attachment 2530740

Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?

Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?

Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .

Huyo sio Kailima !!!! Ni Prof. Michael Ndashau mchumi enzi hizo
 
You've nailed!! Hakuna cha kitu inaitwa maridhiano.

Ilikuwa kutulizwa kwa huyo mwenyekiti kwa kupewa asali mbichi toka Unyamwezini[emoji1787][emoji1787]
Kwamba kauli na vitendo vya Sa100 haviendani,

Kingaiiw Badala ya kushushwa, anapanda, zenji vile vile, akateuliwa mtu ambaye act hawakutarajia kuongoza Tume, Leo ameletwa kada, nk nk.

CCMM wanawaza uchaguzi bila KATIBA mpya,

Niliona uchaguzi ukiyeyuka 2025!!!

Tusubiri.
 
Yaani mwenyekiti wa CCM awe na nia njema ya CHADEMA kushinda uchaguzi? Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika dola ndo maana hata CHADEMA walipoona kuna uwezekano wa kwenda ikulu kupitia mtu waliyemtuhumu kwa ufisadi ilibidi wajitoe ufahamu na kuungana naye.
Najua kwa uwezo wako ulionao, hapa unajisikia kuwa umetoa hoja nzito na mhimu sana ambayo haina mbadala wa jibu juu yake. Hiyo ndiyo ngazi ya juu uliyofikia katika fikra zako.

CCM wapo madarakani miaka yote, utawafananisha vipi na CHADEMA wanaotafuta kila aina ya mbinu kuwaondoa hawa wanaohodhi, tena kwa mabavu kubaki madarakani, kama huoni upungufu wa fikra zako?

Ngoja nikuache na hilo, lakini nina mashaka kama utakuwa na uwezo wa kuelewa kinacholengwa hapa.
 
Back
Top Bottom