Napinga Ramadhani Kailima kuteuliwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi, ni Kada wa CCM

Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.

Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.

Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.

View attachment 2530740

Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?

Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?

Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .

Sasa mtu ambae Hana mapenzi na chama chochote atapatikana wapi?
 
Huyu Mama ametufanyia MZAHA sana, hivi anatuonaje?
 
Wakati umefika kuwauliza mabaka mabaka, hivi haya hayawahusu? Maumivu ya wajomba na shangazi zao wanaona ni mziki wa bongo Flava? Yaani hizo free ration za mchele na cooking oil zinawafanya wanajisahau kiasi cha kuona ukweli?
Jee hakuna wenye fikra na maamuzi ya vijana kama Thomas Sankara au Jerry Rawlings wa wakati ule kule West Africa?
Tunajua hata kwetu walikuwepo kina Hans Poppe, McGhee, Kamando, Lt Maganga, Col Msami, na wengineo. Lakini hawakuleta mabadiliko waliyokusudia ila early 80 walisababisha displin ya aina fulani.
Hatusemi wafanye coup bali na wao waonyeshe wanakwazika na yanayo endelea, hizi yes sir yes sir watakuta familia zao zimesha kwa kifafaduro na kipindupindu kwa umasikini.
Au siku hizi wamekwisha wanaojitafakari huko waliko?
Hakuna jeshi ndugu, ni MAKADA tu wamejaa huko
 
Hongera zake Ramadhani. CCM oyeee. Pipooz Oyeee....
tiendelee

Haya yanaweza kuwa matokeo ya maridhiano ya 'gredi' ya juu kati ya Lissu na Mwenzaake Chairman Mbowe. Kuna uwezekano hawa watakuwa wameafikiana na kutoa ridhaa...hata ikiwa ya shingo upande, wafanyeje? Wakati mmoja anapenda uhuru na mwingine inabidi asafiri safiri na uhuru!

Haijalishi

Hizi ndizo raha za kufanya mavituz nyuma ya pazia.(wala sio)

Tume ya uchaguzi ndio inaanza marekebisho. Katiba ndio mpaka 2030. Uzuri ni kwamba mwanzo unaonekana; kuteuliwa kwa Ramadhani Kailima ndio (gesture) ya Mwenyekiti wa CCM. Ni mwanzo.

Nasubiri mrejesho kwenye mihadhara!
 
Mahera aliyepigiwa kelele kuvuruga chaguzi kaondoshwa; mama anapanga safu ya tume huru, mmeanza mayowe!

Mpeni nafasi awatengenezee tume huru 😆😆
Tume huru ya huyo muhuni?
 
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.

Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.

Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.

View attachment 2530740

Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?

Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?

Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
Katika mada kadhaa za nguvu sana ulizowahi kuweka hapa JF, hii itakuwa ni mojawapo kati ya hizo.

Hilo moja.

Pili, huu ni ushahidi kamili kabisa kwamba Samia hana nia njema. Yaani hata hili CHADEMA washindwe kuwafikishia waTanzania ushahidi ulio wazi hivi?
Mama kawadharau, si CHADEMA pekee, bali hawaheshimu waTanzania kwa ujumla wao.

Kwa hakika kabisa hizi ni dalili zilizo wazi kwamba CCM imefikia ukomo wake. Haya hayawezi kuwa mambo ya kawaida hata kidogo.

Tatu: nimeipenda sana hiyo picha uliyoweka hapo. Ni picha inayofikirisha sana. Mmoja wa hao watu hivi sasa anatembelea kwenye gari lenye thamani ya Tsh 600 milioni!
 
Ni vigumu kware kuwaalika kanga kwenye karamu yao, Katiba mbovu inaruhusu tuwekane tume ya uchaguzi sisi Kwa sisi!

Hakuna Mpinzani atatoboa uchaguzi wa 2025. Mama atashinda uchaguzi mkuu Kwa kishindo Kwa msaada wa Bw Ramadhani na Mama akimaliza muda wake ikulu Bado atafuata tena Rais Muislam kwa Maana Bimkubwa Samia anahudumu zamu ya wakristo ya Hayati Magufuli.
 
Mama anaupiga mwingi. Hata Mbowe hawezi kumwacha Joyce Mukya kwenye viti maalum akamteua Hilda Newton. Na kwa vyovyote vile uteuzi wa Kailima ni mojawapo ya maridhiano yanayoendelea kwasababu CHADEMA mlimlalamikia sana Mahera.

Mama kasikia kilio chenu cha kutaka tume huru kwahiyo ndo marekebisho yameanza. Ikimpendeza amteue Mh. Jecha kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kwasababu wanaCHADEMA wengi wanaonekana kumkubali sana.
 
Katika mada kadhaa za nguvu sana ulizowahi kuweka hapa JF, hii itakuwa ni mojawapo kati ya hizo.

Hilo moja.

Pili, huu ni ushahidi kamili kabisa kwamba Samia hana nia njema. Yaani hata hili CHADEMA washindwe kuwafikishia waTanzania ushahidi ulio wazi hivi?

Kwa hakika kabisa hizi ni dalili zilizo wazi kwamba CCM imefikia ukomo wake. Haya hayawezi kuwa mambo ya kawaida hata kidogo.

Tatu: nimeipenda sana hiyo picha uliyoweka hapo. Ni picha inayofikirisha sana. Mmoja wa hao watu hivi sasa anatembelea kwenye gari lenye thamani ya Tsh 600 milioni!
Yaani mwenyekiti wa CCM awe na nia njema ya CHADEMA kushinda uchaguzi? Lengo kuu la chama cha siasa ni kushika dola ndo maana hata CHADEMA walipoona kuna uwezekano wa kwenda ikulu kupitia mtu waliyemtuhumu kwa ufisadi ilibidi wajitoe ufahamu na kuungana naye.
 
Mahera aliyepigiwa kelele kuvuruga chaguzi kaondoshwa; mama anapanga safu ya tume huru, mmeanza mayowe!

Mpeni nafasi awatengenezee tume huru 😆😆
Uko sahihi. Mama katekeleza mojawapo ya sehemu ya maridhiano. Halafu CHADEMA wanatakiwa waelewe kwamba mwenyekiti wa CCM ndo huteua wafuatao;
1. Mkurugenzi wa uchaguzi
2. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
3. IGP
4. Mkuu wa majeshi
5. Kamishna wa Takukuru

Na wakati wa uchaguzi bado mwenyekiti wa CCM anakuwa anaendelea na cheo chake cha urais hadi pale rais mteule atakapoapishwa. Ninawashauri CHADEMA wapambanie sana viti vya udiwani ila kwa urais wamuunge mkono Mama Samia hiyo 2025 kama alivyofanya hayati Mrema kwa hayati Magufuli.
 
Wakati umefika kuwauliza mabaka mabaka, hivi haya hayawahusu? Maumivu ya wajomba na shangazi zao wanaona ni mziki wa bongo Flava? Yaani hizo free ration za mchele na cooking oil zinawafanya wanajisahau kiasi cha kuona ukweli?
Jee hakuna wenye fikra na maamuzi ya vijana kama Thomas Sankara au Jerry Rawlings wa wakati ule kule West Africa?
Tunajua hata kwetu walikuwepo kina Hans Poppe, McGhee, Kamando, Lt Maganga, Col Msami, na wengineo. Lakini hawakuleta mabadiliko waliyokusudia ila early 80 walisababisha displin ya aina fulani.
Hatusemi wafanye coup bali na wao waonyeshe wanakwazika na yanayo endelea, hizi yes sir yes sir watakuta familia zao zimesha kwa kifafaduro na kipindupindu kwa umasikini.
Au siku hizi wamekwisha wanaojitafakari huko waliko?
Hili ni andiko la kushangaza na kusikitisha.
Mbona umesahau kumtaja Idd Amin mkuu Chakaza! Lakini ujue sipingi chochote ndani ya andiko lenyewe.
 
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.

Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.

Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.

View attachment 2530740

Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?

Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?

Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
*NNA UHAKIKA HATA ANGETEULIWA FALU JOHN BADO "usingekizika" ni wanachadema mna matatzo ya utindio wa ubongoo! best luck kailimaa
 
Bwashee fungua kesi mahakamani ya kupinga huo uteuzi, uwashitaki wote mteuzi, mteuliwa, na mtangaza uteuzi.
 
Wakati umefika kuwauliza mabaka mabaka, hivi haya hayawahusu? Maumivu ya wajomba na shangazi zao wanaona ni mziki wa bongo Flava? Yaani hizo free ration za mchele na cooking oil zinawafanya wanajisahau kiasi cha kuona ukweli?
Jee hakuna wenye fikra na maamuzi ya vijana kama Thomas Sankara au Jerry Rawlings wa wakati ule kule West Africa?
Tunajua hata kwetu walikuwepo kina Hans Poppe, McGhee, Kamando, Lt Maganga, Col Msami, na wengineo. Lakini hawakuleta mabadiliko waliyokusudia ila early 80 walisababisha displin ya aina fulani.
Hatusemi wafanye
Mkuu siku hizi hamna hiyo. Kwani huwaoni makanali na makepteni wakistaafu wanalambishwa teuzi za ukuu wa mikoa na kupokea kwa mikono miwili? Hii inadhihirisha na wao pia walikuwa makada watiifu hata kabla.
 
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.

Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.

Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.

View attachment 2530740

Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?

Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?

Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
ùnapopenda kutukuzwa kulikopindukia, wanaoimba mapambio kwa sauti ya juu, hata kama ni flat, na kukukodolea macho kwa sana, kw tegmeo kwmb utawaona, kweli utawaona na utawajua kw majina. Mwisho itabidi ingalawa uwakumbke kwny ufalme wako. Ndo binadamu wanaotumia hisia zaidi kuliko ubongo walivo.

Cha msingi ni kwmb mauteuzi haya na mauhamisho haya yataendelea tena bila kujali gharama ktokana na dhamira na hisia za mteuaji na ngvu za kikatiba alizo nazo na hisia zake wkt huo. kubali kuwa haya yataendlea hadi pale Katiba Mpya itakaposema "Punguza nguvu za Rais". In the mean time, expect the inevitable - mambo haya yataendlea hadi siku ya uchaguzi. dawa ni Katiba Mpya.
 
CHADEMA wanatakiwa waelewe kwamba mwenyekiti wa CCM ndo huteua wafuatao;
1. Mkurugenzi wa uchaguzi
2. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
3. IGP
4. Mkuu wa majeshi
5. Kamishna wa Takukuru
Jaribu kutumia ubongo wako. Hakuna kati ya hao anayeteuliwa na mwenyekiti wa ccm.

Onyesha barua moja ya uteuzi wa hao kama ipo iliyosainiwa na mwenyekiti wa ccm.
 
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.

Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.

Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.

View attachment 2530740

Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?

Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?

Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
Naanza kumwelezea lissu, amenusa akaona hakuna nia ya dhati ya kufanya mabadiliko. Mkurugenzi aliyekuwepo amepelekwa tawala za mikoa na serikali za mitaa ili asimamie wakurugenzi katika wizi wa kura. Mama ana uchu mkubwa sana wa madaraka hawezi kutupatia katiba mpya
 
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.

Huyu ni miongoni mwa Makada wakubwa kabisa wa CCM wa tangu enzi na enzi.

Ushahidi huu hapa akiwa na Mwigulu enzi zao UVCCM.

View attachment 2530740

Wakati Kagulumujuli akihujumu uchaguzi wa Kinondoni na kusababisha mauaji ya Akwilina , Kailima alikuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi na akanyamaza , Kailima alihusika na kukamatwa kwa Salum Mwalimu aliyekuwa Mgombea wa Chadema kwenye vituo vya kupigia kura Magomeni akishirikiana na RC wa DSM wakati huo Paulo Makonda , Mtu kama huyu awezaje kuaminiwa na kurejeshwa tena Tume ya uchaguzi , kwa uteuzi huu Rais Samia ana malengo gani na Demokrasia ya Tanzania ?

Hata kama Watanzania ni Wajinga lakini si wajinga kwa kiwango ambacho mamlaka ya uteuzi inawaona , ni nani aliyesahau madudu ya Kailima hapo Tume ya Uchaguzi ?

Hakika kwa Uteuzi huu ninaamini Mungu hawezi kukubali na ATATENDA JAMBO , haliwezi kwisha hivi hivi tu .
Dawa ni katiba mpya
 
Back
Top Bottom