Napinga sana hoja ya kusema watoto ni malaika

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Rais alikuwa anaongea na wale watoto wa shule ya msingi akawaita " malaika"
Hili ni jambo ambalo napinga sana. Ni kama mtu akinunua glasi mpya au sahani mpya,haoni sababu ya kuiosha.

Mtoto anapaswa kufundishwa mambo mengi,kwa sababu anaweza anajua kuhesabu moja mpaka kumi lakini hajui Amri Kumi za Mungu. Mtoto ni blank sheet of paper.

Kumwita " malaika" Inaonyesha kwamba hutaki mtoto asumbuliwe na unataka atazame katuni tu.
Mtoto lazima apate spiritual training from birth. Indeed biologists will tell you kwamba yule mtoto aliyeko tumboni anaweza kusikia kaswida.

Rais Samia anadhani kila mtoto mradi tu umri wake ni single digit,basi ni malaika.
 
Hili ni jambo ambalo napinga sana.
Ni kama mtu akinunua glasi mpya au sahani mpya,haoni sababu ya kuiosha.
Mtoto anapaswa kufundishwa mambo mengi,kwa sababu anaweza anajua kuhesabu moja mpaka kumi lakini hajui Amri Kumi za Mungu.
Mtoto ni blank sheet of paper.
Kumwita " malaika" Inaonyesha kwamba hutaki mtoto asumbuliwe na unataka atazame katuni tu.
Mtoto lazima apate spiritual training from birth.
Indeed biologists will tell you kwamba yule mtoto aliyeko tumboni anaweza kusikia kaswida.
Rais Samia anadhani kila mtoto mradi tu umri wake ni single digit,basi ni malaika.
Tuwekee picha ya mailaka then ndio tuanze kuchangia hoja
 
Rais alikuwa anaongea na wale watoto wa shule ya msingi akawaita " malaika"
Hili ni jambo ambalo napinga sana. Ni kama mtu akinunua glasi mpya au sahani mpya,haoni sababu ya kuiosha.

Mtoto anapaswa kufundishwa mambo mengi,kwa sababu anaweza anajua kuhesabu moja mpaka kumi lakini hajui Amri Kumi za Mungu. Mtoto ni blank sheet of paper.

Kumwita " malaika" Inaonyesha kwamba hutaki mtoto asumbuliwe na unataka atazame katuni tu.
Mtoto lazima apate spiritual training from birth. Indeed biologists will tell you kwamba yule mtoto aliyeko tumboni anaweza kusikia kaswida.

Rais Samia anadhani kila mtoto mradi tu umri wake ni single digit,basi ni malaika.
Utakuwa mkatili kwa watoto wewe. Ukiwalea watoto kwa kufikiri kuwa adhabu kali ndio dawa hakika utajutia baadaye. Watoto ni malaika kwa maana hawana hatia ni wasafi. Labda wale waliokwisha anza utukutu.
 
Back
Top Bottom