Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)

Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.

Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.

Screenshot_2024-08-01-19-40-42-1.png
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia

Screenshot_2024-08-01-21-04-29-1.png


PIA SOMA

- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
 
Ulitaka iitwe Mbowe?

Kama hauoni sababu zozote za kuitwa Magufuli, basi hata sisi hautuoni sababu za kuacha kuitwa Magufuli.

Isitoshe ni Maraisi wote, ila kwa Magufuli tu ndiyo umeona shida.

Nadhani hizi ni chuki
 
Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)...
Pinga pinga Fc lopolopo Fc mwambie Mbowe ajenge Choo machame tuite choo cha Mbowe la sivyo jinyonge imeitwa na huna la kufanya kwa mlimpinga Magufuli kuhusu ujenzi wa SGR ya Majina hayawahusu
 
Wakati mwingine wapinzani huwa mnajitakia presha bule

Halafu we binti mbowe, una vitu vingi vingi vya kijinga kijinga sana yaani,

Ubaya wa magufuli ni kumwambia mbowe alipe kodi za bilkanas

Hicho ndicho kimewafanya muwehuke kwa kumchukia na kumpimga JPM (RIP)

Mkiwa Ikulu mtalipa kodi kwenye biashara zenu?
 
Wakati mwingine wapinzani huwa mnajitakia presha bule

Halafu we binti mbowe, una vitu vingi vingi vya kijinga kijinga sana yaani,

Ubaya wa magufuli ni kumwambia mbowe alipe kodi za bilkanas

Hicho kimewaganya muwehuke kumpimga JPM (RIP)
Huna rekodi ya waliotekwa na kuuawawa kwenye utawala wake akiwemo Ben Saanane na Azory Gwanda?
 
Siku watu wakijua kua tulipata hasara kubwa sana kumpoteza huyu mtu itakua too late

Maendeleo hayaletwi kwa kubembelezana, hata kwako kwenye familia usipokua imara na mwenye msimamo familia ya watu watano itakushinda, achilia mbali watu milioni 60, imagine baba unarudi nyumbani Kila mtu anataka demokrasia, mke anataka kula hiki, mtoto hiki, dada wa kazi hiki, inafika mahali baba ukiamua Leo ni wali mboga mboga period hakuna mjadala

Stallin aliua watu mamilioni na mamilioni ili waanze safari upya kwenda kwenye maendeleo, hakuna nchi wamepata maendeleo the easy way, huko us red indians wameuliwa sana

Mwisho ya yote hapo china, mao mnyama alikua hajui kubembeleza, ni kupiga kazi mwanzo mwisho ukizubaa unakufa, ndo alileta nidhamu ya kazi china huko mpaka Leo

Huku vijana wapo busy na kubet, uchawa, ushoga na kulia Lia In the name of democracy

Magu alitakiwa akaze zaidi ya pale, na Kuna virusi angetakiwa aviondoe atleast Leo tungekua somewhere, watu walikua busy kuponda miradi yake Leo hii ndo wakwanza kuizindua, watu wa dar kueni na aibu, nilishatelekeza gari service road ya ubungo kuwahi mtihani chuo, foleni ilikua sio poa kipindi Iko

Amekosea ya kwake, ila let's call a spade a spade, the guy did a lot in his term!!!
 
Back
Top Bottom