aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Mleta mada angepinga majina ya Steshen zote kuitwa majina ya maraisi!Every majina ya wanasiasa
Stend, meli, stesheni, majengo, madaraja.
Hakuna majina mengine kama ya vivutio vya kitalii na mengine.
Ingeitwa Dar es salaam rail way station, Dodoma rail way station, Morogoro railway station INGEKUAJE??
#YNWA
Lakini kupinga jina la raisi mmoja tu inaonekana kama chuki