Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

SGR imejengwa na fedha za watanzania walipa Kodi na wala si fedha za Magufuli.
Inaonekana huna elimu kabisa na hujui unachokinena!😁😁
 
We nae wa kuliwa sehemu ya haja kubwa
 
SGR imejengwa na fedha za watanzania walipa Kodi na wala si fedha za Magufuli.
Inaonekana huna elimu kabisa na hujui unachokinena!😁😁

SGR imejengwa na fedha za watanzania walipa Kodi na wala si fedha za Magufuli.
Inaonekana huna elimu kabisa na hujui unachokinena!😁😁
Kuna waliotumia kodi zetu kula bata badala ya kutuletea maendeleo. Mf pamoja na ruzuku wanayoipata chadema kwa muda mrefu bado Mbowe kashindwa kujenga hata ofisi makao makuu. So akitokea mwenyekiti mwingine akajenga tena ndani ya muda mfupi lazima tutamsifu
 
Ni vigumu sana kupambana na legacy ya magufuli, alama alizoacha ni nyingi kiasi kwamba watu wasipomsemea zitaongea zenyewe. Pamoja na kuwa amelala ila bado wajinga flani wanapambana naye na mambo mema aliyoyafanya yanaongea na yataendelea kuongea kwa sauti kubwa mioyoni mwa watanzania. Viva magufuli viva shujaa
 
Hakaainde leo yapo shingoni mwake. Anapata taabu sanaaa kiuchumi. Hakuna umeme kwasasa. Kutamka ni rahisi sana ila kutekeleza si mchezo
 
Ulitaka paitwe jina la Baba yako? Kwani hukumsikia Samia mwenyewe akitoa sababu iliyopelekea Kituo cha Dar kuitwa Magufuli?
 
Jenga yako nawe uchague jina uipe
 
Hii ni Kwa mawazo yako jomba...kulingana na wewe unavyohisi na kuwaza...sasa kubaliana na wengine wengi ambao wamefurahi na jina Hilo kama mwanzilishi wa ujenzi wa project hiyo..kongole kwake mwendazake, RIP....mtetezi wa wanyonge na mpenda haki..tusimungunye maneno hapa..hata Rais wetu kipenzi Dr SSH amekiri yote na ndio maana alikuwa Makamu wake wakati wote..
 
Ulitaka iitwe Mbowe?

Kama hauoni sababu zozote za kuitwa Magufuli, basi hata sisi hautuoni sababu za kuacha kuitwa Magufuli.

Isitoshe ni Maraisi wote, ila kwa Magufuli tu ndiyo umeona shida.

Nadhani hizi ni chuki
Chuki binafsi tupa kule
 
Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Huu ni ujinga wa kiwango cha Rami kabisa hivi unajua malema ni profess wa south Africa nakuu maneno yake akisema Mimi siitetei CCM lakini kiuhalisia magufuli angekuwelo mbaka Sasa Tanzania ingekuwa na uchumu mkubwa sana barani africa mwisho wa kunukuu na yeye huyu nae hajui kufikiria vizuri kama weee
 
Huna rekodi ya waliotekwa na kuuawawa kwenye utawala wake akiwemo Ben Saanane na Azory Gwanda?
Vipi Mwangosi (RIP), Chacha Wangwe (RIP), Polisi na viongozi wa CCM kwa wilaya za Mkoa wa Pwani waliouawa? Hizo rekodi umezifuta? Kwani nini hamkuandamana kupinga?
====
Uhai wa Kila mtu/ Mwananchi yeyote bila kujali Chama chake kazi yake, kabila lake nakadhalika ni muhimu na unastahili kulindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…