zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
A president has exclusive immunity.But he was alive,why you didn't do it
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A president has exclusive immunity.But he was alive,why you didn't do it
IpoKwani kuna shido?
SGR imejengwa na fedha za watanzania walipa Kodi na wala si fedha za Magufuli.Mbowe kawa mwenyekiti wa chadema toka Magufuli ni mwalimu ila hajaweza hata kujenga ofisi ya chama makao makuu ila hilo hulioni unachokiona na mapungufu machache ya mtu alieweza kujenga reli ya sgr na mradi mkubwa wa umeme! Sio siri we jamaa unaliwa jicho maana una una chuki za kike sana.
We nae wa kuliwa sehemu ya haja kubwaHii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
He will torment your feeble mind until the day you expireHe's already cremated in the fiery lake of burning sulfur in hell.
SGR imejengwa na fedha za watanzania walipa Kodi na wala si fedha za Magufuli.
Inaonekana huna elimu kabisa na hujui unachokinena!😁😁
Kuna waliotumia kodi zetu kula bata badala ya kutuletea maendeleo. Mf pamoja na ruzuku wanayoipata chadema kwa muda mrefu bado Mbowe kashindwa kujenga hata ofisi makao makuu. So akitokea mwenyekiti mwingine akajenga tena ndani ya muda mfupi lazima tutamsifuSGR imejengwa na fedha za watanzania walipa Kodi na wala si fedha za Magufuli.
Inaonekana huna elimu kabisa na hujui unachokinena!😁😁
Hakaainde leo yapo shingoni mwake. Anapata taabu sanaaa kiuchumi. Hakuna umeme kwasasa. Kutamka ni rahisi sana ila kutekeleza si mchezoHii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
Ielewe hoja yakeHakaainde leo yapo shingoni mwake. Anapata taabu sanaaa kiuchumi. Hakuna umeme kwasasa. Kutamka ni rahisi sana ila kutekeleza si mchezo
Ulitaka paitwe jina la Baba yako? Kwani hukumsikia Samia mwenyewe akitoa sababu iliyopelekea Kituo cha Dar kuitwa Magufuli?Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
Jenga yako nawe uchague jina uipeHii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
Hii ni Kwa mawazo yako jomba...kulingana na wewe unavyohisi na kuwaza...sasa kubaliana na wengine wengi ambao wamefurahi na jina Hilo kama mwanzilishi wa ujenzi wa project hiyo..kongole kwake mwendazake, RIP....mtetezi wa wanyonge na mpenda haki..tusimungunye maneno hapa..hata Rais wetu kipenzi Dr SSH amekiri yote na ndio maana alikuwa Makamu wake wakati wote..Hii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Kingine ni hiki haiwezekani kwenye Nchi ya watu wenye akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi.
Nitashawishi wadau walikatae Jina hilo kupewa SGR ili lisilete mkosi kwenye Taifa.
========
Angalia Ujumbe wa Rais wa Zambia
View attachment 3058919
PIA SOMA
- Majina ya vituo vya tren: Dar magufuli Moro Kikwete Dom Samia Tabora Mwingi Shinyanga Karume Mwanza Nyerere
Chuki binafsi tupa kuleUlitaka iitwe Mbowe?
Kama hauoni sababu zozote za kuitwa Magufuli, basi hata sisi hautuoni sababu za kuacha kuitwa Magufuli.
Isitoshe ni Maraisi wote, ila kwa Magufuli tu ndiyo umeona shida.
Nadhani hizi ni chuki
Mmewauwa wenyewe kutimiza malengo yenu lakini wapiHuna rekodi ya waliotekwa na kuuawawa kwenye utawala wake akiwemo Ben Saanane na Azory Gwanda?
Ulipinga wewe na kina Mbowe..kumbe..mngepeleka hoja bungeniTulishapinga Majina ya watu kutumika, hayana maana yoyote
Huu ni ujinga wa kiwango cha Rami kabisa hivi unajua malema ni profess wa south Africa nakuu maneno yake akisema Mimi siitetei CCM lakini kiuhalisia magufuli angekuwelo mbaka Sasa Tanzania ingekuwa na uchumu mkubwa sana barani africa mwisho wa kunukuu na yeye huyu nae hajui kufikiria vizuri kama weeeHii ni kwa sababu John Magufuli hakuwa kiongozi bora wala hakuwa kiongozi wa kuigwa, Alikuwa kiongozi Mnoko, Katili na mwenye visasi (Mifano ni Mingi mno)
Vipi Mwangosi (RIP), Chacha Wangwe (RIP), Polisi na viongozi wa CCM kwa wilaya za Mkoa wa Pwani waliouawa? Hizo rekodi umezifuta? Kwani nini hamkuandamana kupinga?Huna rekodi ya waliotekwa na kuuawawa kwenye utawala wake akiwemo Ben Saanane na Azory Gwanda?
Kwani ile ni ya Magufuli?Jenga yako nawe uchague jina uipe