Siku watu wakijua kua tulipata hasara kubwa sana kumpoteza huyu mtu itakua too late
Maendeleo hayaletwi kwa kubembelezana, hata kwako kwenye familia usipokua imara na mwenye msimamo familia ya watu watano itakushinda, achilia mbali watu milioni 60, imagine baba unarudi nyumbani Kila mtu anataka demokrasia, mke anataka kula hiki, mtoto hiki, dada wa kazi hiki, inafika mahali baba ukiamua Leo ni wali mboga mboga period hakuna mjadala
Stallin aliua watu mamilioni na mamilioni ili waanze safari upya kwenda kwenye maendeleo, hakuna nchi wamepata maendeleo the easy way, huko us red indians wameuliwa sana
Mwisho ya yote hapo china, mao mnyama alikua hajui kubembeleza, ni kupiga kazi mwanzo mwisho ukizubaa unakufa, ndo alileta nidhamu ya kazi china huko mpaka Leo
Huku vijana wapo busy na kubet, uchawa, ushoga na kulia Lia In the name of democracy
Magu alitakiwa akaze zaidi ya pale, na Kuna virusi angetakiwa aviondoe atleast Leo tungekua somewhere, watu walikua busy kuponda miradi yake Leo hii ndo wakwanza kuizindua, watu wa dar kueni na aibu, nilishatelekeza gari service road ya ubungo kuwahi mtihani chuo, foleni ilikua sio poa kipindi Iko
Amekosea ya kwake, ila let's call a spade a spade, the guy did a lot in his term!!!