Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

JPM ndio rais bora kuwahi kutokea Tanzania.Tanzania bado inamlilia JPM, Zaid ya asilimia 70 ya Watanzania bado Wanatamani uwepo wa JPM . Tanzania ya JPM ilikuwa bora kwa miaka 50 mbele.
Nikiwa Rais mtalimia meno
 
Ulitaka iitwe Mbowe?

Kama hauoni sababu zozote za kuitwa Magufuli, basi hata sisi hautuoni sababu za kuacha kuitwa Magufuli.

Isitoshe ni Maraisi wote, ila kwa Magufuli tu ndiyo umeona shida.

Nadhani hizi ni chuki
Achana nae huyu Erythrocyte. Ni mpumbavu fulani humu JF Jukwaa la Siasa.
 
Jina la Magu ndio kusema,mtajua hamjui.Jina lake sasa ndio litaibeba ccm uchaguzi ujao.
 
akili kummilikisha mtu mmoja majina yote ya maeneo muhimu ya Nchi

Kweli kabisa, sisi raia tuliowaajiri viongozi hawa halafu baadaye wanapora mamlaka yetu sisi mabosi wao.

Ndiyo maana kuna mifano mingi ya viongozi baada ya kuteuliwa wanatumia vibaya kodi zetu wakidhani wao ndiyo mabosi.

Ni sawa na kumwajiri fundi akujengee nyumba halafu fundi akimaliza, anajiamulia aibatize nyumba yako jina lake nyumba yako !


Tayari viongozi tuliowachangua wanajimilikisha rasilimali za taifa, kwa kuzipiga mnada wakidhani ukiajiriwa na wananchi basi wamekabidhiwa mbuga za wanyama, mapori tengefu, migodi, bandari n.k kuwa vyao badala ya kuogopa kuwa ni mali za mabosi wao ambao ni sisi walipa kodi.
 
[/QUOTE]
Andamana
 
Naunga Naunga mkono hoja Yako kigoma ndiyo ya chura dar kifimbo mza jiwe Dom lissu walipomlenga
 
Stemdi ya mabasi, magufuli,.madaraja magufuli eeehh,.too much.

Hakuna wasomi mahiri, wanamuziki mahiri,
Kama huna chuki, mkosoe Samia kwanza aliyebuni kuwekwa hayo majina a Viongozi kwenye Stesheni Sgr.
 
Umemaliza, maendeleo hayaji kwa kubembelezena
 
Pinga pinga Fc lopolopo Fc mwambie Mbowe ajenge Choo machame tuite choo cha Mbowe la sivyo jinyonge ianimeitwa na huna la kufanya kwa mlimpinga Magufuli kuhusu ujenzi wa SGR ya Majina hayawahusu
Yani wewe ni MJINGA KABISA....NARUDIA
WEWE NI MJINGA.
 
Wewe kwa kupinga tuu, nafikiri utakuwa Mmatengo na unaitwa Kapinga.
 
Wanakud1nya wachawi chuki zako Kwa magufuli hazikusaidii ye ndiyo mjenzi wa hii project
 
Mimi ningeshauri tu serikali kwa nia ya kujenga, Majina ya viongozi ingeishia yu kwenye barabara lakini ziko fursa nyingi za kuongeza vipato kwenye mashirika haya. Hivi vituo na hata vile vya mwendokasi wangeviweka public kama kuna kampuni inataka kununua jina wangepewa na pesa nzuri tu ingelipwa maana kuwa na station kila siku sio chini ya watu alfu 4 wanapita kuna thamani kubwa. Mfano anakuja mtu anataka kununua jina station inaitwa Tigo Dodoma station. Kama Dubai zile Metro station zote majina yanalipiwa mamilioni ya pesa kwanini tusifanye hivi.
 
Wewe ni mpumbavu
 
Hii comment kuna baadhi ya contents zimenifanya niheshimu ubora wa mtu hata kama ana mapungufu yake.

Kwa mara ya kwanza nasema Bravo Magufuli kuna pahala ulipatia japo ulikosea pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…