Napinga Stesheni ya SGR Dar kuitwa Magufuli, hakuna sababu yoyote ya kuipa Jina hilo

Nina uhakika Lissu hawezi kukutuma kuandika haya...

Utakua umetumwa na Mbowe au boss wako Mrema, maana hao kimsingi ni wehu...
 
Mi niko na wewe katika hili.
Ukweli Jina Magufuli ni mkosi kwa Taifa letu.
 
Ukipenda boda peda na maua yake. Kama unaipenda SGR huwezi kumuondoa JPM kwenye u-SGR.
 
Tenda yaliyobora na yanayostahili kuigwa na jamiii siku Moja na wewe ukifa utaaacha alama kubwa kama alivyo Magufuri.

Ili ufike huko unapaswa kuikataa hiyo roho ya wivu na vinyongo inatokutawala
 
Kwani mmiliki wa hayo majina ni nani?, mbona wana chadema mnakuwa wajinga sana?
 
Magufuli,The innocent hero and beloved son of Africa! May the Almighty God Rest Him in Eternal peace
 
Chuki za kipumbavu tu izo then wewe utakuwa ni mchawi
 
Ukisha maliza kupinga,nenda kajinyonge na kamba ya mgomba! Ndiyo ishakua na hakuna wa kubadilisha!!
 
Naunga mkono hoja. Magufuli alikuwa ni SHETANI ndani ya mwili wa mwanadamu. Hastahili hiyo heshima. Isitoshe ni kodi zetu ndiyo zimejenga
 
Huyo ukiyekaririshwa na mabwana zako kwamba siyo kiongozi Bora ndiye kaijenga SGR..

Mpuuzi mmoja wewe na Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…