Napinga vikali Uchunguzi wa Polisi na kumwita Hamza ‘gaidi’

Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.

millardayo

@millardayo

·
1h

“Duniani kote Mtu yoyote mwenye viashiria au tabia za kigaidi target yake kubwa ni Askari awe Askari wa Jeshi, Askari wa Polisi au Askari yoyote na chuki kubwa ya Magaidi ni hawa Watu wa vyombo vya dola na sio mara ya kwanza Askari kuuawa” ———-DCIA Wambura
 
Kwaiyo wewe umekalili activities zao ikiwemo kuua raia sio? Kwaiyo wasipoua raia kwako wewe huyo si gaidi?

Nakushauri tu kajifunze gaidi ni nani na sio gaidi anaweza kufanya nn kwa sababu anaweza kubadilika akafanya jambo kinyume na matarajio ya wengi ili kukidhi haja zake
 
Tutumie hiyo video, tuone.
Hawajasema kuwa ni gaidi. Wamesema alikuwa na viashiria vya ugaidi.

Kabla ya tukio lile lililosababisha mauti yake na askari kadhaa.

Alijirekodi video akiwa ameshika bastola huku akiimba nyimbo za uhamasishaji hasa zinazotumiwa na vikundi vya ugaidi.

Ni kweli anaweza kuwa hakuwa gaidi lakini alikuwa na viashiria vya ugaidi.

Na mwisho ni namna alivyofanya tukio lenyewe ,linafanana na ugaidi.

Tusitetee tu kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Kuna masuala mengine ya kiutaalam kuyazungumzia wewe usiye na utaalam ni kujichora ujinga wako. Wewe una uhakika gani kwamba ndani ya bunduki yake kulikuwa na risasi nyingi. Kunyamaza kwa mambo usiyoyajua nayo ni akili.
 
Hawajasema kuwa ni gaidi. Wamesema alikuwa na viashiria vya ugaidi.

Kabla ya tukio lile lililosababisha mauti yake na askari kadhaa.

Alijirekodi video akiwa ameshika bastola huku akiimba nyimbo za uhamasishaji hasa zinazotumiwa na vikundi vya ugaidi.

Ni kweli anaweza kuwa hakuwa gaidi lakini alikuwa na viashiria vya ugaidi.

Na mwisho ni namna alivyofanya tukio lenyewe ,linafanana na ugaidi.

Tusitetee tu kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi wanatoa maoni huenda hata hawakusikiliza vizuri DCI kasema nini au wameona clip ndogo tu ya sehemu ya alichosema bila kuelewa vizuri content. Siku hizi tumekuwa na watanzania wengi wanaoshabikia Jambo pasipo kulielewa.

Umefanya uchambuzi mzuri sana
 
Kwahiyo angeua raia ndio ungeamini jamaa alikuwa ni gaidi? f'sana wewe.Kule kibiti ilianzaje,si walianza kuua askari halafu wakaamia kwa raia.Unaliwa ndogo.[emoji57]
 
Matokeo yake mmekosa taarifa muhimu ku-justfy ugaidi wake!
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.

rubbish!
 
Bado Wanaendelea Kubambika Kesi Mpaka Sasa Hivi
Nchi Hii Ngumu Sana Jamani
 
Kama sio gaidi ni muuaji wa polisi au sio? Muuaji wa polisi wanne ambaye polisi wanasema na bila shaka wana ushahidi amekua anapata mafunzo ya siasa kali za kidini toka makundi kama al shabab huyu tunamuitaje? Nafikiri badala ya kupinga hamza hakua gaidi tudai taarifa kamili ya polisi kuhusu hamza iwekwe hadharani.
 
Hawajasema kuwa ni gaidi. Wamesema alikuwa na viashiria vya ugaidi.

Kabla ya tukio lile lililosababisha mauti yake na askari kadhaa.

Alijirekodi video akiwa ameshika bastola huku akiimba nyimbo za uhamasishaji hasa zinazotumiwa na vikundi vya ugaidi.

Ni kweli anaweza kuwa hakuwa gaidi lakini alikuwa na viashiria vya ugaidi.

Na mwisho ni namna alivyofanya tukio lenyewe ,linafanana na ugaidi.

Tusitetee tu kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo video wewe umeiona?
 
Kama sio gaidi ni muuaji wa polisi au sio? Muuaji wa polisi wanne ambaye polisi wanasema na bila shaka wana ushahidi amekua anapata mafunzo ya siasa kali za kidini toka makundi kama al shabab huyu tunamuitaje? Nafikiri badala ya kupinga hamza hakua gaidi tudai taarifa kamili ya polisi kuhusu hamza iwekwe hadharani.
Polisi ni majambazi! Walimnyang'anya dhahabu yake akaamua kulipa kisasi kwa kuwatia adabu!

Hamza amekufa kishujaa!
 
Wewe ni mpumbavu! Hujui alichukua SMG mbili alizoziteka kutoka askari aliowaua? Halafu ulivyo mjinga unadhani polisi anakuwa na bunduki isiyo na risasi lindoni?
Ukada wako wa CCM umekufanya uwe zezeta!
Ulijua idadi ya risasi alizotumia kwenye hizo SMG mbili kulinganisha na idadi ya risasi alizokuwa nazo? . Ukishaona mtu anabakia na matusi tu akilini basi jua akili ya kufikiria haipo. Foolish people are silly and senseless. They are overly optimistic regarding their own views and unable to see their own vulnarabilities. That is the state you are passing through. Pole sana.
 
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.

2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.

3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.

4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.

5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.

Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.

Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Polisi wenyewe wanaongozwa na inept Sirro!
 
Wametunga
Kweli kabisa wametunga! Hamza alikuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala na pia ameshiriki kampeni Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana. Sasa usiri uko wapi hapo? Alipataje kura za ujumbe? Chunya amejenga ofisi ya CCM na alikuwa na mpango wa kujenga shule, usiri ni upi hapo?

Wambura atoe tafsiri yake ya usiri labda tutamwelewa.
 
Back
Top Bottom