Polisi wanadai Hamza aliishi kisiri na amejifunza ugaidi kupitia kuangalia mitandao ya ISS na Al Qaeda, je wamejuaje?Nmemsikiliza wambura sijamuelewa kabisa,nadharia ni nyingi sana juu ya maisha ya hamza na wapi kajifunza ugaidi,uchunguzi urudiwe au ipewe mamlaka nyngine kuchunguza tukio hili.
Ni baada ya yeye kuwafanya wenzake tena wanne hivyo hivyo. Nadhani alistahili kupigwa nyingi. Sidhani kama kuna mjadala...Ndiyo wakamfanya uwanja wa range kujifunzia shabaha?
WametungaPolisi wanadai Hamza aliishi kisiri na amejifunza ugaidi kupitia kuangalia mitandao ya ISS na Al Qaeda, je wamejuaje?
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.
2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.
3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.
4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.
5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.
Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.
Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Hawajasema kuwa ni gaidi. Wamesema alikuwa na viashiria vya ugaidi.
Kabla ya tukio lile lililosababisha mauti yake na askari kadhaa.
Alijirekodi video akiwa ameshika bastola huku akiimba nyimbo za uhamasishaji hasa zinazotumiwa na vikundi vya ugaidi.
Ni kweli anaweza kuwa hakuwa gaidi lakini alikuwa na viashiria vya ugaidi.
Na mwisho ni namna alivyofanya tukio lenyewe ,linafanana na ugaidi.
Tusitetee tu kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna masuala mengine ya kiutaalam kuyazungumzia wewe usiye na utaalam ni kujichora ujinga wako. Wewe una uhakika gani kwamba ndani ya bunduki yake kulikuwa na risasi nyingi. Kunyamaza kwa mambo usiyoyajua nayo ni akili.Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.
2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.
3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.
4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.
5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.
Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.
Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Watu wengi wanatoa maoni huenda hata hawakusikiliza vizuri DCI kasema nini au wameona clip ndogo tu ya sehemu ya alichosema bila kuelewa vizuri content. Siku hizi tumekuwa na watanzania wengi wanaoshabikia Jambo pasipo kulielewa.Hawajasema kuwa ni gaidi. Wamesema alikuwa na viashiria vya ugaidi.
Kabla ya tukio lile lililosababisha mauti yake na askari kadhaa.
Alijirekodi video akiwa ameshika bastola huku akiimba nyimbo za uhamasishaji hasa zinazotumiwa na vikundi vya ugaidi.
Ni kweli anaweza kuwa hakuwa gaidi lakini alikuwa na viashiria vya ugaidi.
Na mwisho ni namna alivyofanya tukio lenyewe ,linafanana na ugaidi.
Tusitetee tu kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akiishi kwa kificho sana lkn akiwa mjumbe.DCI anasema eti jamaa alikua anaishi kwa kificho 🤣
Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.
2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.
3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.
4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.
5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.
Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.
Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Kama sio gaidi ni muuaji wa polisi au sio? Muuaji wa polisi wanne ambaye polisi wanasema na bila shaka wana ushahidi amekua anapata mafunzo ya siasa kali za kidini toka makundi kama al shabab huyu tunamuitaje? Nafikiri badala ya kupinga hamza hakua gaidi tudai taarifa kamili ya polisi kuhusu hamza iwekwe hadharani.Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.
2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.
3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.
4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.
5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.
Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.
Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
hiyo video wewe umeiona?Hawajasema kuwa ni gaidi. Wamesema alikuwa na viashiria vya ugaidi.
Kabla ya tukio lile lililosababisha mauti yake na askari kadhaa.
Alijirekodi video akiwa ameshika bastola huku akiimba nyimbo za uhamasishaji hasa zinazotumiwa na vikundi vya ugaidi.
Ni kweli anaweza kuwa hakuwa gaidi lakini alikuwa na viashiria vya ugaidi.
Na mwisho ni namna alivyofanya tukio lenyewe ,linafanana na ugaidi.
Tusitetee tu kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi ni majambazi! Walimnyang'anya dhahabu yake akaamua kulipa kisasi kwa kuwatia adabu!Kama sio gaidi ni muuaji wa polisi au sio? Muuaji wa polisi wanne ambaye polisi wanasema na bila shaka wana ushahidi amekua anapata mafunzo ya siasa kali za kidini toka makundi kama al shabab huyu tunamuitaje? Nafikiri badala ya kupinga hamza hakua gaidi tudai taarifa kamili ya polisi kuhusu hamza iwekwe hadharani.
Ulijua idadi ya risasi alizotumia kwenye hizo SMG mbili kulinganisha na idadi ya risasi alizokuwa nazo? . Ukishaona mtu anabakia na matusi tu akilini basi jua akili ya kufikiria haipo. Foolish people are silly and senseless. They are overly optimistic regarding their own views and unable to see their own vulnarabilities. That is the state you are passing through. Pole sana.Wewe ni mpumbavu! Hujui alichukua SMG mbili alizoziteka kutoka askari aliowaua? Halafu ulivyo mjinga unadhani polisi anakuwa na bunduki isiyo na risasi lindoni?
Ukada wako wa CCM umekufanya uwe zezeta!
Polisi wenyewe wanaongozwa na inept Sirro!Hamza hakuwa gaidi kwa sababu zifuatazo:
1. Hamza baada ya kuwatwanga risasi aliendelea kutamba barabarani na bunduki zake zikiwa zimejaa risasi bila ya kudhuru raia ye yote.
2. Mahali ambapo Hamza aliuawa kwa kupigwa risasi na polisi ilikuwa wazi sana kiasi kwamba polisi wenye ujuzi wangeweza kimkamata akiwa hai bila majeraha au kwa kujeruhiwa miguuni.
3. Kitendo cha askari kuendelea kumpiga risasi Hamza hata baada ya kuanguka chini na kuendelea kuipiga risasi maiti ya Hamza inaonyesha polisi wetu ama kukosa weledi wa kazi yao au kupoteza ushahidi kwa makusudi. Kwani polisi waligeuza maiti ya Hamza uwanja wa range wa kujifunzia shabaha.
4. Hamza angekuwa gaidi wa kidini kama DCI Wambura anavyodai angekuwa ameshambulia makanisa mengi na pia angekuwa ameua wakristu wengi sana. Aidha angekuwa ameshambulia misikiti na waislam wasio dhehebu lake.
5. Kwa muda wote ambao amekuwa kada wa CCM, wanachama wenzake na vyombo vya usalama vingekuwa vimeshamtambua. Kumbukeni uovu haujifichi kwa muda mrefu namna hii.
Ugaidi hauendeshwi na mtu mmoja hivyo kama Hamza angekuwa gaidi lazima angekuwa na wenzake ambao muda huu vyombo vya usalama vingekuwa vimewabaini na kuwatia mbaroni.
Nawashauri polisi wafanye kazi yao au waombe msaada wa uchunguzi kubaini ukweli. Katika suala hili polisi ni watuhumiwa hivyo hawana uhalali wa kujichunguza wenyewe na kutoa ukweli.
Kweli kabisa wametunga! Hamza alikuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala na pia ameshiriki kampeni Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana. Sasa usiri uko wapi hapo? Alipataje kura za ujumbe? Chunya amejenga ofisi ya CCM na alikuwa na mpango wa kujenga shule, usiri ni upi hapo?Wametunga