Napinga vikali Uchunguzi wa Polisi na kumwita Hamza ‘gaidi’

Uwezo wa Wambura kwenye kuchambua mambo ni mdogo sana.

Huyu bila shaka ni kati ya wale Askari wa enzi zile walioingia jeshini labda kwa kigezo cha kuwa na uwezo mkubwa wa kukimbia mbio ndefu. Kichwani zero kabisa.

Gaidi mfia dini? Nonsense.
 
Stupid! I can't argue with a fool, people might not distinguish between us!
 
Uwezo wa Wambura kwenye kuchambua mambo ni mdogo sana.

Huyu bila shaka ni kati ya wale Askari wa enzi zile walioingia jeshini labda kwa kigezo cha kuwa na uwezo mkubwa wa kukimbia mbio ndefu. Kichwani zero kabisa.

Gaidi mfia dini? Nonsense.
Nimemsikiliza Wambura, hakika hatoshi kabisa katika nafasi yake!
 
Swali fikirishi

Kinachonifikirisha sana kwanini ile video iliyorekodiwa toka kwenye daladala, jamaa anasikika kumtaja siro na vijana waake, wamemfanya nini? Kwanin asimtaje amiri jeshi mkuu au mkuu wa majeshi.. Ye ni askari tu, kuna jambo hapa kati.
 
Cc: Ileje
 
Kwa vyo vyote vile polisi ni watuhumiwa na wanatakiwa wanyooshe maelezo na siyo kumbambikia ugaidi Shujaa wetu Hamza!
 
Hakuwa gaidi!,full stop
 
Anaweza kuwa aliwaua police ili awanyang'anye siraha na kutokomea nazo nakuweza kuzitumia kati ugaidi wake.
 
Polisi Wanatuona Watanzania ni Wa KUDANGANYWA kwa WAJINGA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Anaweza kuwa aliwaua police ili awanyang'anye siraha na kutokomea nazo nakuweza kuzitumia kati ugaidi wake.
Hamza alikuwa na akili timamu lakini kwa maudhi aliyofanyiwa na polisi alitaka kuwaachia ujumbe kuwa hawezi kuvumilia unyanyasaji wao hata kama matokeo yake ni umauti kwake!
 
Mjumbe wa mkutano mkuu wilaya CCM ni GAIDI!

Naamini bado wengi sana ndani ya chama wamchunguze na ndugai ile video animcharaza mwanaccm mwezake bakora naona wazi kuna ugaidi mkubwa ataufanya badae.
🤣🤣🤣
 
Mleta mada umefanya wapi uchunguzi. Ujinga ujinga na wajinga wenzio
 
Nmemsikiliza wambura sijamuelewa kabisa,nadharia ni nyingi sana juu ya maisha ya hamza na wapi kajifunza ugaidi,uchunguzi urudiwe au ipewe mamlaka nyngine kuchunguza tukio hili.
Chakushangaza zaidi anasema eti Hamza alikuwa pia akiishi kwa Siri wakat tumeona taarifa ya habar wakazi wa chunya songwe wakimuelezea na kipango ya kujenga shule ya msingi inamaana serikali haikutambua hilo
 
Acha kutetea majambazi! Kamwe ugaidi si jeshi la mtu mmoja. Polisi wanapaswa kuonyesha washiriki wa Hamza vinginevyo polisi wetu ni majambazi tu!
Mbowe ni mmoja wao. Polisi wameshasema Mbowe pia ni gaidi na washirika wake
 
Hamza alikuwa na akili timamu lakini kwa maudhi aliyofanyiwa na polisi alitaka kuwaachia ujumbe kuwa hawezi kuvumilia unyanyasaji wao hata kama matokeo yake ni umauti kwake!
Akili ya kitoto sana kufikiria hivi. Wewe umeshaudhiwa na wangapi, mbona hujawaua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…