Napinga vikali Uchunguzi wa Polisi na kumwita Hamza ‘gaidi’

Hamza ni Gaidi kwa maana ya kwamba, tokea afanye lile tukio na ugaidi wake unaanza hapo kwa public. Sbb alikuwa na viashiria vyote vya ugaidi kabla, ikiwemo kujifunza ugaidi kupitia mitandao, radical Islam, kufuatilia Al Shabab, kujirikodi video akiwa kabeba bastola akionyesha ishara ya kuua. Ila haikuwa wazi kwa public labda sbb alikuwa anajiandaa kufanya tukio kwa siri bila mtu yeyote kujua na akalifanya. Ugaidi hauzaliwi nao, unaanza muda ukianza matukio kama ya Hamza, kuua Askari etc, na sbb alikuwa na viashiria, ndio maana alipata ujasiri wa kuua askari wetu.

Hivi nyie mnafikir askari wetu sio binadamu kama sisi? Hamza kauawa mmoja tu, askari 3 na 1 mlinzi wa kampuni binafsi wamekufa, yote kasababisha Hamza, mnatetea nini humu? Nyie watu wa ajabu sana, nyoko sana. 😡😡😡
 
Jamaa hakuwa gaidi,angekuwa gaidi lazima angefsnya tukio kubwa la Mauaji kwa kuua watu wengi,zile daladala zote zilizokuwa pale zingeshambuliwa kwa risasi.
Hawa polisi wetu ni majambazi yenye leseni.
Kama ni jeshi hili hili lilomfungulia Kada wa Chadema kesi ya kusafirisha madawa ya kulevya kutoka Pakistan,kada mwenyewe hana passport,hajawahi kuvuka mpaka wowote sasa huko Pakistan alienda vipi?jeshi hili haliwezi kusema ukweli.
Hamza alikuwa kada wa ccm,ametoa michango mingi,leo wanasema hakuwa na hela,ziliisha zamani,kama hakuwa na hela,hiyo shule aliyoahidi kuijenga huko kitete,angejenga kwa kutumia nini?
Ila na ndugu zetu wa upande wa pili,Richa ya dini yao kuhusika,wamekaa kimya!!!hakuna rabsha may be kwa vile mpangaji wa magogoni ni WA dini yao,angekuwa ni mkorinto,sijuhi ingekuwaje????
 
Hivii watizamaji wa porno nao ni porno actors/ actress, kukutwa na video za porno kweny simu yako inamaanasha una viashiria vya kuwa actor wa porno.
Bado saafikiani na swala la kusema ni gaidi kwa sbabu alizozitoa
 
Huelewi unachosema wala hujii taratibu za kipolisi so ni heri ukanyamaxa tu
 
Hivii watizamaji wa porno nao ni porno actors/ actress, kukutwa na video za porno kweny simu yako inamaanasha una viashiria vya kuwa actor wa porno.
Bado saafikiani na swala la kusema ni gaidi kwa sbabu alizozitoa
Upelelezi huwa unaanzia kwenye vitu vidogo sana,na hivyo vitu vidogo hukupeleka kugundua vitu vikubwa. Kumbuka hii ni taaluma,si sahihi kudharau tu kila kitu kinachosemwa na polisi kwasababu tu wana mapungufu kiutendaji upande fulani.

Awe Hamza alikuwa gaidi au mtu mwema ndio yametokea yaliyotokea,ameua watu wanne,hivyo alipoteza sifa ya kuwa mwema.

Na katika mazingira kama yale alikuwa hatarishi nadhani ilikuwa vyema naye kuuwawa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna kesi gani,nadhani kulikuwa na tukio ambalo sidhani kama limezaa kesi yoyote.limesababisha uchunguzi wa kutaka kujua tu hamza alikuwa mtu wa aina gani?na kama wamegundua ana viashiria vya ugaidi,basi sababu zilizofanya aue polisi ni za kigaidi.
Kaua polisi, nae kauwawa na polisi si basi yameisha...

Kwani polisi wasingechunguza na kutoa taarifa kwa wananchi tungewafanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hawawajui magaidi Kuna siku watakutana kaka gaidi na kumuita hamza ni kakibaka tuu ukutane na gaidi afu bahati mbaya ana vile vimikoti wanavyojirekodigi press zao vile vya kuwekea magazine kama alivyokuwaga anavaa osama Biladeni
 
Gaidi,maana take "terrorist",anatisha watu. Watu walikuwa wamejikunyata kwenye Ile daladala,kwa hiyo Hamza alikuwa zaidi. Na ametamka"Kama mlikuwa mnadhani mtafanya nini sijui,mmekosea. Sisi vijana wa Kiislamu tuko tayari kuutoa uhai wetu kwa ajili ya Allah." DCI amemnukuu Hamza alipomwita mfia dini.
 

Yani wewe utakuwa mjinga wa kutupwa; Hata uchunguzi haukutakiwa, why?

1. Religious motivated.
2. He targeted Police and not others.
3. He was ready, and he knew he would die.
4. Amekuwa na affiliation na magaidi,

Nipe definition ya gaidi kwa uelewa wako?
 
CCM chama cha kigaidi! Tofauti yake na ISIL,AL-SHABAAB ni kwa vile kinaongoza dola.
 
Kuokoa watu wengi gani wakati yeye aliwaacha hao watu wengi na kudili na polisi na tena mwishoni alisimama kabisa katikati ya barabara sasa polisi wenye mafunzo walishindwa nini kumdhibiti hadi wakawa wanapiga risasi pembeni na badala ya kumlenga mlengwa tena isingehitaji hata kumuuwa ila ajabu walikuwa wanamshambulia maiti mirisasi kibao.

Hamza angetaka kushambulia hao watu wengi sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine kwa polisi wale ambao wanashindwa kumlenga mtu ambaye kasimama katikati ya barabara ila wanapiga risasi pembeni.
 
You are notoriously unintelligent. You think with your muscles. Wewe ni wa kupuuzwa.
🤣🤣🤣 You might be one of those uncouth policemen!
 
Taarifa ya DCI ya kijinga kabisa. Huko polisi hakuna mwenye uwezo wa afadhali?
 
You should ask yourself why he target policemen and not other people? A terrorist targets anybody even women and children. A terrorist cares less provided he fulfills his mission!
 
Kwa hiyo unakiri kuwa jamaa alijuwa na akili ya kigaidi.!!! Lipumbafu kabisa.
Wee mburula kutwanga askari risasi siyo ugaidi bali kuwatia adabu wazingatie maadili yao ya kazi!
 
Polisi wanadai Hamza aliishi kisiri na amejifunza ugaidi kupitia kuangalia mitandao ya ISS na Al Qaeda, je wamejuaje?
Chombo chochote alichokuwa anatumia kuangalia iwe laptop , iwe simu nk ni rahisi sana kupata history ya websites alizokuwa anaagalia - Kuna software za kufanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…