Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hatutawaachia wapotoshe jamiiMkuu unasikiliza Hawa viongozi wa dini wasio jielewa design ya Gwajima na kufata uwehu wao kweli?
Aibu kubwa sana !Haya mafanikio ya Rais hayaonekani kwa macho mpaka yanadiwe?
Ndugu halitufurahishi asilimia 80 ya waislamu, na Bakwata sio taasisi ya waislamu, bali ni mali ya serekaliMbona maaskofu wakikemea unakuwaga wa kwanza kuanzisha uzi humu kusifia.
Unataka mambo yanayokufurahisha tu ndo yatendeke.Tengeneza dunia yako!
Mimi nimeona kichwa cha uzi kimeandikwa viongozi wa dini.Ndugu halitufurahishi asilimia 80 ya waislamu, na Bakwata sio taasisi ya waislamu, bali ni mali ya serekali
ImagineHaya mafanikio ya Rais hayaonekani kwa macho mpaka yanadiwe?
Kwani Bagonza anasemajeTafadhalini sana nyie ndugu zetu wakikristo, mara nyingi tumemijuza kuwa Bakwata sio taasisi ya waislamu, hiyo ni taasis ya serekali, na iliundwa na Nyerere na Mark Bomani, na hao munaowaita Mashehe hawana tofauti na Gwajima.
Anayeunga mkono juhudi aunge kama mwanachama wa chama, hai ni wanachama wenzetu ndani ya ccm.
Bagonza anasemaje?Haya mafanikio ya Rais hayaonekani kwa macho mpaka yanadiwe?
Kibaya chajiuzaHaya mafanikio ya Rais hayaonekani kwa macho mpaka yanadiwe?
Ukiona hivyo hayapoSijaona ulazima wakufanya yote hayo,kwani watu hawayaoni hayo mazuri mpaka wanatumia nguvu kubwa hivyo kuwaaminisha watu uongo.