Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Wakamatwe kama Ponda, wasituchanganyie siasa na dini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!
Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.
Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?
Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.
Tutayapinga hadi tone la mwishoHaya mapambio hadi yanachosha kusikiliza!
nitasema kweli daima fitna kwangu mwikoUsitufokee mlamu!
Dhahiri !Hii ni aibu kubwa sana, yaani badala ya serikali ijisemee, yenyewe inakwenda kusemewa na viongozi wa dini!
Na huu ni Ushahidi mwingine mzito kuwa BAKWATA ni tawi la CCM
Hivi tayari kishambwaga ?Alhadji Mussa ni Miongoni mwa Mashekhe njaa tulionao...ukiwa na cheo anakushobokea ila ukikiacha hana mpango na wewe Makonda anamjua vyema.
Nasubiri viongozi wa Kikristo nione sura zao.Bakwata ni Tawi la CCM, iko kwa ajili ya maslai ya kuwakandamiza waisilamu. Shekhe wetu ni shekhe ponda nao wengine sio
Hivi kwa zama hizi kuna mtu ambaye hawezi ona mafaniko na mapungufu. Swali fikirishi hivi binadamu anaweze kuwa na mafanikio bila bila mapungufu basi tuyaseme hayo mapungufu ili ajirekebisheTaarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!
Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.
Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?
Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.
Frank talk does not break friendship, though I like this proverb: call a spade a spade not a big spoonWhen you have done something and you have to spend hours to explain what you have done then you done nothing. Things you have done will speak for themselves. Just shut the f up
View attachment 1515700
Hujui.........Siasa za viwango vya juu sana!!.....sijui.......ona sasa!Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!
Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.
Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?
Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.
Taarifa hii imetolewa na Alhaji Musa Salum ambaye ni Sheikh wa Bakwata wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwamba eti viongozi wa dini wanatarajia kukutana tarehe 30 July jijini kwa lengo la kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya 5!
Taarifa inazidi kueleza kwamba Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.
Tangu lini viongozi wa dini wakawa wasemaji wa serikali? Hii mbona ni siasa ya kiwango cha chini sana! Sasa tukisema hawa viongozi njaa wa dini wakiwemo maaskofu kadhaa walioshuka hadhi wanatumika tutakuwa tunakosea?
Tutahakikisha tunahamasisha wananchi kupuuza kila kitakachojadiliwa na hawa mamluki bila kuchoka.
Mbona maaskofu wakikemea unakuwaga wa kwanza kuanzisha uzi humu kusifia.
Unataka mambo yanayokufurahisha tu ndo yatendeke. Tengeneza dunia yako!
Mkuu unasikiliza Hawa viongozi wa dini wasio jielewa design ya Gwajima na kufata uwehu wao kweli?
Hatutawaachia wapotoshe jamii